The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Hahaha saidizi wa Mungu on one two.Halafu huyo huko Jahannam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha saidizi wa Mungu on one two.Halafu huyo huko Jahannam
Hata wale majasusi wameachiwa?Nasikia kukubali kuwachia matekwa wote na wafungwa wa Hamasi, mwimba umemkaa papaya si alijidai hasimamishi vita mpaa wawachiliwe matekwa wote.
Pili anatafuta njia yakutoka Gaza sababu hawezi pigana bila kuwauwa watoto, wanawake na dunia nzima inalalamika wanasema huyo anacho fanya genocide, anawakimbia Hamasi anaenda uwa watoto wanawake na wagonjwa sa kupigana na Hamasi hawezi na kuendelea kuwauwa watoto hata America kanza kuona kuna hatari upande wake.
Achague mawili pigana na Hamasi au kubali huwawezi
Netanyau kaitumbukiza Israel kwenye shimo reefu.Haitustui sisi waisrael tushawahi uawa maelfu lakini Adui akitiwa Mkononi mwetu na Mwenyeenzi Mungu Wetu hatumuachi.
Kwenye Vita Mojawapo Mfalme Wetu Sauli watoto wake waliuawa na hata yeye akajiua. Mungu akatuletea Daudi Tikashinda Vita nyingi Mno. Hata sasa Tuna Netanyahu Mungu anatupigania Tutashinda.
Bro kwani hayo maandamo ya akina Ponda, yanasemaje?Vita ni vita murah.....Wazayuni wanazidi kuangamizwa huko Gaza haya mpwa wa kike wa Netanyahu nae ameangamizwa huko Gaza
Mpaka sasa idadi wa wanajeshi wa kizayuni walioangamizwa huko Gaza na mpakani na Lebanon ni karibia 900!!
Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
View attachment 2811903
Hawanaga mapambio hawa ni vyuma tu uki sema suu unalooHezbollah wamenifurahisha sana leo kala vichwa 20 vya magaidi
R.i.P Classmate...[emoji26]
utaziweza kweli Bikra 72 ukiwa na kamdomo hivi?Tatizo unakufa ukiwa kafiri ndio baya zaid
Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
View attachment 2811903
ApiaKati ya huyo binti, na huyu bwana Jonathan Netanyahu, nani yuko karibu naye zaidi?
Familia ya Netanyahu walishampoteza vitani ndugu yao wa damu Jonathan Netanyahu mwaka 1976 and they cared less! Sembuse huyu ndugu wa mkewe?
View attachment 2812033
Jehanam ni makao ya mashetani na waislamu milele maana wamemkataa kristoHalafu huyo huko Jahannam
Wewe ni moto tu na wenzio wote.Kafiri anamaani.?
Kila siku anapewa mapendekezo ya kuachiwa mateka huru anapuuza.Anadhani nguvu ya mabomu ndio ushindi wa vita.Vita ni vita murah.....Wazayuni wanazidi kuangamizwa huko Gaza haya mpwa wa kike wa Netanyahu nae ameangamizwa huko Gaza
Mpaka sasa idadi wa wanajeshi wa kizayuni walioangamizwa huko Gaza na mpakani na Lebanon ni karibia 900!!
Today Al-Qassam Brigades killed soldier Barkitzi Matania Artzi in Gaza, the younger niece of Sara Artzi, the wife of Prime Minister of Israel Netanyahu.
View attachment 2811903
Au siyo wakianza kuliwa na wao unatakiwa ufurahie piaHezbollah wamenifurahisha sana leo kala vichwa 20 vya magaidi