LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Haya yashajua akhera hayana kitu kwa hivyo wanafurahia hapa duniani
 
Letanyahu motoni na wafuasi wake ikiwemo wewe
Sawa, we peponi kula mabikra 70 huku ukiogelea kwenye mto wa pombe kali![emoji1787]
Hizi dini nyingine aisee, ni vile zilianzishwa na maamuma.
 
Sawa, we peponi kula mabikra 70 huku ukiogelea kwenye mto wa pombe kali![emoji1787]
Hizi dini nyingine aisee, ni vile zilianzishwa na maamuma.
Jifurahishe lkn ukiwa mkiristo ujue utapata tabu sana baada ya kufa
 

Wewe mgogo unasema mfalme wako sauli toka lini, sisi wafrika tulikua na wafalme wetu kutokana na makabila, mimi mchaga mfalme wangu alikua mangi sime
 
Hiyo sio kweli mwanajeshi kamili wa IDF hawezi kuua kikongwe mnajitahidi kueneza propaganda wayahudi ni wabaya

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
kama waliambiwa waondoke walisubir nin mpk wanajeshi wafike hapo ? hamas huwatumia watu hawa kukusanya taarifa kuwa wanajeshi wangap wapo upande gan ili hamas wajue wanajipangaje , kwavile din imekukaa hulioni hili la hamas kuwatumia vikongwe vitan ila unaona sw kwa wanaojilinda dhidi ya vibaraka wa hamas , hiko kifo cha bibi wakulaumiwa ni hamas maana hao hamas wazazi wao wapo huko nje ya gaza wanafurahia maisha ila wanawatumia wazaz wa wapalestina kimaslai
 
Nilikuwa nawadharau wanamgambo wa Hamas, nimewavulia kofia maana wanawaua kweli hawa wanajeshi wa Israel. Sijui waliingia bila mafunzo au wamekurupuka maana siyo kwa kupukutika uko.

Hata wakishinda watakuwa wamepata hasara kubwa sana na sijui kama watashinda hii vita maana naona kama Israel maji yamefika shingoni.
 
Ahaa okay, so taifa la Mungu linapigwa na magaidi, na Mungu anachekelea
 
Sijaelewa kwanini Israel wametangaza kukamata hawa, ilipaswa waingizwe maeneo fulani hivi kimya kimya kisha humo iwe ni mwendo wa mayowe, kilio na kusaga meno tu....






View: https://twitter.com/ytirawi/status/1723684315748266334?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1723684315748266334%7Ctwgr%5E96ce8f7e578bdb4926e90b50e3c2d41fa5e64164%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fliveblog-november-12-2023%2F
The Shin Bet security agency and Israel Defense Forces say some 20 members of the Hamas terror group have been arrested by Israeli troops in the Gaza Strip to be questioned in Israel.

The agency says it is collaborating with the IDF Military Intelligence Directorate’s Unit 504 and other troops to gather intelligence, carry out special operations, arrest wanted Palestinians and interrogate them.

It says the 20 Hamas members were nabbed “in the heart of the Gaza Strip.”

“The interrogations of the terror operatives will be used to obtain up-to-date intelligence from the ground and to aid with the continuation of the ground maneuver and the fighting efforts,” the Shin Bet says.
 
Hii dunia hovyo sana.
Mwisrael original ni mtu mweusi even Jesus was black.
TIME WILL TELL.
Yanayoendelea kwa sasa duniani ni usanii.
Ile habari ya UTUMWANI still wa Israel (waafrika)wapo utumwani.
 
Jeneral mwingine wa Israel amechezea kipigo na kuuwawa baada kuzama kwenye tunnel na kuishia mikononi mwa Wapiganaji wa Hamas

By by baby killer

The mastermind of the destruction of Hamas tunnels, General Yadnov Alon, was killed along with a specialized engineering unit to destroy tunnels in Gaza!!
 
Kumbe nao wanaua, msilie lie humu sasa. Wacha wauane tupate mahindi.
 
Sijaelewa kwanini Israel wametangaza kukamata hawa
Pata matangazo kidogo! Hawa ni wale unaoambiwa!

Two Israeli commandos killed in Gaza operations​


The Israel Defence Forces says two more of its soldiers have been killed fighting in Gaza.

This brings the total number of those killed in operations inside the strip to 44.

The IDF named the soldiers as commando brigade members Major Isachar Natan, 28, and Staff Sergeant Itay Shoham, 21.

Source: Sky news: 13/11/2023
 

Mlisema Israel haitaingia Gaza, sasa wanaelekea kumaliza mchezo, magaidi yenu yamejificha ndani ya wagonjwa, yanaogopa kuwahishwa yakafaidi mabikira.
 
Iran ambayo ilichora mstari na kutoa mkwara kwamba Israel ikivuka huo mstari itafanya kitu, na kweli Israel wakavuka kila aina ya mistari, leo hiyo Iran imebidi kuiomba China ifanye kitu.

====================

Tehran said it hoped to "strengthen communication and coordination" with China to de-escalate the war in Gaza as Wang Di, director general for the region at the Chinese foreign ministry, met Iranian diplomatic officials on Saturday, according to the ministry. It was Beijing's first official visit to the country since the war began last month.

Wang reiterated Beijing's stance on the war, saying there was an "urgent need for ceasefire" as the conflict had caused "large-scale civilian casualties". He made the comments during meetings with Ali Bagheri, Iranian foreign ministry deputy for political affairs, and leaders of regional departments.

Do you have questions about the biggest topics and trends from around the world? Get the answers with SCMP Knowledge, our new platform of curated content with explainers, FAQs, analyses and infographics brought to you by our award-winning team.

MSN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…