LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mlisema Israel haitaingia Gaza, sasa wanaelekea kumaliza mchezo, magaidi yenu yamejificha ndani ya wagonjwa, yanaogopa kuwahishwa yakafaidi mabikira.
Nadhani yale mashirika ya kimataifa na ya haki za binadamu, na hata UN wataelewa kwa nini mashule ,hosp na.miskiti vililemgwa
 
Magaidi ambayo yameganda kwenye hospitali yalijaribu kushambulia jeshi la Israel, wakawahishwa fasta kwenda kwa mabikira....

The Israel Defense Forces says troops killed members of a terror cell that opened fire at Israeli forces from Al-Quds Hospital in Gaza City.

According to the IDF, the cell had opened fire at troops of the 188th Armored Brigade with light arms and RPGs, while being “embedded within a group of civilians at the entrance of the hospital.”

The IDF says troops, with air support, returned fire at the Hamas operatives, killing 21 of them. No troops were hurt but one tank was damaged by an RPG, the IDF says.
 
Nadhani yale mashirika ya kimataifa na ya haki za binadamu, na hata UN wataelewa kwa nini mashule ,hosp na.miskiti vililemgwa

Kuna hili gaidi lina RPG linashambulia kutoka hospitalini

 
Hamas mwisho wao na mbwembwe zao zote kumbe hawana lolote wanahemelewa na IDF kama wanawake tu na tayari Gaza wamenyang'anywa dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kawaida yao hamas kujikinga kwenye mashule na mahospitali na makambi ya wakimbizi.
Hivyo wahanga wote wanaouawa kwenye hayo maeneo atakae beba lawama ni yule aliyeyatumia kama kinga ya vita vyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…