LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Msije kusema free Palestine 🇵🇸.......sasa ile hospital nimeamrisha iwe kama uwanja wa kaitaba .........safisha mpaka majokofu ya maiti za hamas maana ni uchuro
 
Naangalia hapa BBC sioni hiyo issue, na nimeweka Al Jazeera na hakuna kitu kama hiko,

Kuweni wakweli basi
 

Attachments

  • 16999092931934266113553808379543.jpg
    2.3 MB · Views: 4
Kuna watu wanafanya propaganda upande wa hamas kana kwamba wanalipwa na kundi hilo wakati hata haliwatambui na haliwajui, wanasukumwa na udini wao
 
Mkisema tel aviv inapigwa ina maana iron dome haifanyi kazi?
 
Mimi niko uku Tel Aviv ila sijaona wala kusikia kitu kama icho.

#PrayForPeace 🇵🇸🇮🇱
 
Mnachukua picha za Vita ya Ukraine mnasema Gaza,Gaza kuna Ghorofa lilosimama?
 
Hiyo ndio link? Habari hata Aljazeera haipo
 
Kuna habari tatu za kushangaza sana kwenye hii vita;

1) Wanajuwa kabisa wanpigwa kuytokea wapi na wanatuma ndege za kivita kwenda kupiga na makombora ya mbali (missiles) lakini cha kushangaza wakienda walipopiga wanapigwa wao.

2) Maaskari wa kizayuni wanaotoka Ghaza wengi wanarudi kwa kupatwa na majanga ya kupiga kelele hovyo na kuona, majegajega, vitu ambavyo wengine hawavioni (hallucinations), askari mmoja kasema alikuwa kwenye kifaru kikapigwa akawahi kutoka, akaona kazungukwa na vifaru zaidi 20 akwa anapiga kelele niwachieni maisha yangu, naondoka sirudi " anasema "wakniwachia". Cha kushangaza ni kuwa wapalestina hawana kifaru hata kimoja.

3) Wayahudi wanapigana na majeshi makundi kwa makundi lakini wanayaona wao tu.

Sasa hivi mazayuni wanachukuwa wanajeshi wa kulipwa (merceneries) kutokea dunia nzima, wanawalipa Dollar 4,0000 kwa wiki.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…