LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kuna Uzi mlileta humu kuwa Israel hataweza kuingia Gaza, Hana uwezo wa vita ya ardhini, mara ameshashindwa kabla hajaanza.

Mara akaanza, Vilio Vilio. Sasa kachukua mji maneno ni Yale Yale.

Mko kama mwanamke anayemwambia mumewe nipige uone, nipige kama mwanaume kweli.... Akipigwa Sasa................
 
Kweli dini ni uchawi, kweli unaamini Hezbollah ndo wakupambana na Israel? Kama Iran ameogopa kurusha hata risasi, Turkey ameshindwa.
 

What funny the way umeelezea kama vile uko uwanja vita unaongoza vikosi
 
Umesahau kumalizia na allahakbari.
 
Kwa sasa unafurahia, watakapomaliza na na Hamas,.walihamia Lebanon.utakuwa wa kwanza kujiliza. Wanaua watoto, sijui wanawake. Tarehe 7 Oct mlifanya hayahaya lakini leo mnalia vita iishe.
Najua muda si mrefu Huko lebanon kutakuwa magofu
 
Hapo vita imefika penyewe ni mafanikio makubwa kwa kikosi maalum cha makomandoo wa Jeshi la chini ya Ardhini kinachojulikana kama Yahalom

Jeshi la Israel lina vikosi vifuatavyo vikubwa kuna cha angani , Majini,cha juu ya ardhi ,Cha Chini ya ardhi kinachoitwa Yahalom hicho ni kikosi maalum cha mainjinia watupu kujiunga kuanzia chekechea unatakiwa sio tu ufaulu wa juu lakini hadi IQ yako ya akili inatakiwa kuwa kubwa mno unatakiwa kubalance vyote viwe juu na uwezo wa kuhimili kimwili uwe juu mno

Ni kikosi kinaongoza kuwa na makomandoo wenye uwezo mkubwa mno wa kupigana chini ya Ardhi na wote huwa mainjinia wenye digrii wako wenye Bachelor, Masters hadi PhD ilakini ni wapiganaji bila kujali cheo. Ikilipuka vita

Kwa hiyo toka vita imeanza Brigadia wa vita ya chini ya ardhi ndie alikuwa akiongoza vita kama kiongozi wa vita yote iwe ya angani nk yeye ndie alikuwà ana direct kama ndege ,kombora ,au kifaru au Askari wa miguu apige wapi kwenye Tunnels .Concentration yake ya forces zote directed kwenye Tunnels tu piga watu waoiganaji wa Hamas kwenye Tunnels ambao elimu ya juu waliyonayo ni ya madrasa na mikelelebtu ya Allah Akbar

Sasa hapo kwenye makao makuu wamefika wao ndio wanamalizia vita ya chini ya Ardhi wapokewe na Brigadier wa kamandi ya juu ya Ardhi wao baada ya kumaliza task ya Underground war hadi kufika makao makuu ya Hamas yaliyo Underground

Na itaisha baada ya kuokoa mateka ndani chini yavArdhi na kuua Askari wa Hamas wako hapo

Makomandoo wa Yahalom wakimaliza hapo kubomoa hiyo kambi ya Hamas Underground kazi yao ya Underground war inaishia hapo wanapokewa na Brigadier na wababe wa vita ground war

Handover iko karibu kufanyika

Hongera kamandi ya Yahalom kwa kazi nzuri toka vita ianze hongereni sana

Mumefanya kazi nzuri.Malizieni hapo

wawasaidie kwenye hii Vita vikosi vya Yahalom mkimalizia jukumu lenu na kukabidhi kwa wapokea kijiti

Hicho kipigo hadi Hamas wanataka ohh tunawaachia hiyo yote ni kazi ya kikosi kimoja tu ambacho ndicho kikianza vita toka October 7 kati yake na hao wavaa kobasi na vusuari vifupi wa Hamas

Sasa wabapiga yowe na bado

Hapo wanaomalizia ni hao wapiganaji wa IDF wa chini ya Ardhi.Mapigano hayatasimama hadi hao panya road Hamas walio chini ya Ardhi hiyo hospitali wauawe wote asibaki hata mmoja

Kikosi cha Yahalom hapo kimefika kilipokuwa kinataka Ukisafiri kutoka Dar kama unaenda Moshi lengo kufika Moshi

Lengo la kikosi cha Yahalom ilikuwa kufika makao makuu ya Hamas wamefika waende wapi au wasimamishe vita ili iweje ni moto kwenda mbele hadi hao Hamas watoka mataifa mbalimbali ya kiarabu siasa kali wafe wote hapo hakuna cha kutoka kilema kila anayetoka lazima awe marehemu

Jeshi la IDF linahakikisha libawaua wawahi mabikira 72 huko peponi walioahidiwa na kuruani
 
Njia bora kabisa ya kudili na magaidi ni kuwafanyia ugaidi wao wenyewe.
Terrorise them and don't give a damn about human rights or whatever.
All Terrorists must learn the truth in hash way. Death to all Terrorists and their sympathisers.
China and Hindu stand with Israel because Israel it using the same method China/hindu use when it comes to deal with terrosim.

Kwa Upande mwingine " Ukichaa uja kwa njia tofauti. Kama wewe unaamka asubuhi, usukutui, uogi, hujifanyii usafiri wowote jua wewe ni kichaa".
 
Zote ni mbinu za vita wewe unaweza kuona wameomba poo kama walivyosema Gaza itageuka makaburi ya Israel, vita vitapigwana kwa mtindo mwingine. Acha wachukue kila kitu.
 
Jana kuna mchambuzi wa Kijeshi msomi wa Mambo ya vita mtanzania tena muislamu kulikuwa na kipindi maalumu TBC cha kuongelea hiyo vita walikuwa wawili mmoja Mkristo anayejua vizuri sheria za kimataifa kuhusu vita zinavyosema

Aliyenikosha ni mchambuzi wa kijeshi aliongea vizuri kuwa Israel muda mrefu haijawahi kuwa provoked kwa kiasi kikubwa kama hicho mara nyingi wanakuwa provoked na Hamas lakini kwa kiwango kidogo ila sasa wamekuwa provoked kiwango kikubwa ni nafasi walikuwa wanasubiri ili wawape somo Hamas ambalo hawaji sahau hata miaka 50 ijayo .Hamas wakaingia kichwa kichwa

Akasema Israel inachofanya sasa ni kutuma meseji kwa Hamas kwa kuvunja miundombinu bila kujali hospitali, shule au raia au watoto kuwa Hamas mkija thubutu tena mjue gaza yote itakuwa double ya hiki

Sasa hivi wanapeleka somo kwa Hanas na alionyesha kuumia sana akasema kijeshi inaruhusiwa kumpa somo unayepigana naye asije kusahau milele kipigo kiwe kisheria au la kuwa ndicho Israel wanafanya
 
Ardhi imechukulia na haitarudi. Muda utaongea tupo hapa
 
Msemaji mkuu wa magaidi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sure. Na hamas hawakuwa na Nia ya kuharibu kiasi iki. vibe liliwazidi hata wakajikuta wamefanya zaidi ya walivyokuwa wamekusudia.
Juzi kati kiongozi wa hamasi akiwa interviewed alisema kitu kuwa " hatukutegemea mambo yangelikuwa Makubwa kiasi hiki hadi US kasogeza Meri za kivita".
Walipanga kufanya mchezo ule ule wa kuteka watu 3 ama 5 na kuua ama 2 kama ambavyo ufanya mara kwa mara.. but this time they accidentally bite more than they could chew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…