LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Inaonekana huko Israel vijana wamehamasika kujiunga na jeshi na kupigana bila kuangalia hadhi au ni lazima?

Hivi bongo kweli jamaa wa viongozi kwa sasa wanaweza kwenda frontline?
Hawa Kenge wanaoshibisha vitambi huko jeshini ikitokea vita watakimbia na kupeleka raia frontline , raia Ndio huwa anakuwa sacrificed kwenye vita .
Jeshi lipo kama picha tu , hata Ukraine ni hivyo hivyo
 
Huyu angedakwa mzima mzima apigwe pipe wa mjaze mimba hadi ajifungue waunge undugu kwa nguvu
Mtoto mzuri kabisa huyu ,ilibidi wamkamate ,awe anashikishwa ukuta tu na wanaharakati wa Hamas kule underground ,awe kiwanda cha kuzalisha watoto ambao baadaye watakuwa wanaharakati maisha yake yote
 
Hana legitimacy kusema chochote, Naye amefanya jinai kurithi ufalme kutoka kwa baba na baba kutoka kwa babu yake, na kushikilia mateka wananchi wake wasitoke nje ya nchi wala wasijue kinachoendelea duniani, na kuwashindisha njaa a finance nuclear missiles, siku akitolewa madarakani ni the Hague moja kwa moja,
 
Kafiri utapata tabu sana. Ukiwa mkiristo halafu ukafa bado ni mkiristo basi maisha baada ya kufa yatakuwa magumu mno
Mkristo hana shida na mabikra 72 na Haineken inayotiririka kwenye mito ya ahera kwani kwao hizo ahadi ni za kishetani na wala sio za peponi.
 
Wanajeshi wa Israel wanashika doria katika mitaa ya Gaza mwaka 1971 kama sehemu ya juhudi zake za kukabiliana na mashambulizi ya waasi dhidi ya uvamizi katika Ukanda huo.


Je, kweli Wamisri wana haki ya kueleza hofu hii yote kwa Sinai kwa kuzingatia hali mbaya ya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa jirani wa Gaza?
Nyaraka za Uingereza zinajibu: Kwa hakika, hofu hizi ni za haki.
Nyaraka nilizopitia zinafichua kuwa Israel ilitengeneza mpango wa siri miaka 52 iliyopita wa kuwafukuza maelfu ya Wapalestina wa Gaza hadi Sinai Kaskazini.
Baada ya jeshi la Israel kuiteka Gaza, pamoja na Ukingo wa Magharibi, Jerusalem Mashariki na Miinuko ya Golan ya Syria, katika vita vya Juni 1967, Ukanda huo ukawa chanzo cha kero ya usalama kwa Israel.
Kambi za wakimbizi zilizojaa zimekuwa maeneo ya upinzani dhidi ya ukaaji. Kuanzia hapo, operesheni za upinzani zilianzishwa dhidi ya vikosi vilivyovamia na washirika wao.
Kwa mujibu wa makadirio ya Uingereza, wakati Israel inaikalia kwa mabavu Gaza, kulikuwa na wakimbizi 200,000 katika Ukanda huo, kutoka maeneo mengine ya Palestina, wakifadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), na wengine 150,000 ambao walikuwa wakazi asilia wa Kipalestina.
Ripoti zao zilisema kwamba Gaza "haikuwa na uwezo wa kiuchumi kutokana na matatizo ya kiusalama na kijamii yaliyosababishwa na maisha ya kambi na shughuli za waasi ambazo zilisababisha idadi kubwa ya waathirika."

Kwa nini usiri?​

Kulingana na makadirio ya Waingereza, katika kipindi cha kati ya 1968 na 1971, waasi 240 wa Kaarabu (Wapalestina) waliuawa na wengine 878 walijeruhiwa, wakati 43 waliuawa na wanajeshi 336 kutoka kwa vikosi vya Israel waliuawa huko Gaza.
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kisha ikatangaza kusisitiza kwake kusitisha shughuli za Israel dhidi ya wakimbizi wa Kipalestina huko Gaza, na kuamua "kuchukua hatua za pamoja za Waarabu kuunga mkono upinzani katika Ukanda wa Gaza."
Uingereza ilikuwa na wasiwasi kuhusu hali ya ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu hususani Gaza.
Katika kujibu maswali ya bunge, serikali ya Uingereza iliarifu Baraza la Commons kwamba "inafuatilia kwa uangalifu maendeleo katika sekta hiyo." Alisema: "Tunatazama hatua za hivi karibuni za Israel kwa hamu maalum, na ni kawaida kwetu kutazama kwa wasiwasi hatua yoyote ya serikali ya Israel ambayo inaweza kudhuru ustawi na ari ya wakimbizi wa Kiarabu (Wapalestina) huko."
Wakati huo huo, Ubalozi wa Uingereza mjini Tel Aviv ulifuatilia mienendo ya Israel ya kuwahamisha maelfu ya Wapalestina hadi Al-Arish, ambayo iko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai ya Misri, na iko takribani kilomita 54 kutoka mpaka wa Gaza na Misri.
Kulingana na ripoti za ubalozi, mpango huo ulijumuisha "uhamisho wa kulazimishwa" wa Wapalestina kwenda Misri au ardhi nyingine za Israeli, katika jaribio la kupunguza ukali wa operesheni za msituni dhidi ya uvamizi huo na shida za usalama zinazoikabili mamlaka inayokalia katika Ukanda huo.
Mapema Septemba 1971, serikali ya Israel iliwaambia Waingereza kwamba kulikuwa na mpango wa siri wa kuwahamisha Wapalestina kutoka Gaza hadi maeneo mengine, hasa Al-Arish nchini Misri.
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa wakati huo wa Israel, Shimon Peres (kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi, Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje, na baadaye Waziri Mkuu na Mkuu wa Nchi katika Israel) alimweleza mshauri wa kisiasa wa Ubalozi wa Uingereza huko Tel Aviv kwamba " wakati umefika kwa Israel kufanya zaidi katika Ukanda wa Gaza na kidogo katika Ukingo wa Magharibi. ”
Katika ripoti yake kuhusu mkutano huo, ubalozi ulisema Peres ambaye alikuwa na jukumu la kushughulikia maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, alithibitisha kwamba “ingawa serikali (ya Israel) haitatangaza rasmi sera hiyo mpya, wala haitachapisha mapendekezo ya kamati ya mawaziri.
Kuangalia hali hiyo, sasa kuna makubaliano katika Baraza la Mawaziri.” "Lazima tufuate hatua za mbali ili kukabiliana kwa ufanisi zaidi na matatizo ya Gaza."
Ripoti hiyo iliongeza kuwa Peres "anaamini kuwa hatua hizi zitasababisha mabadiliko ya hali ndani ya mwaka mmoja hivi." Alihalalisha kufichwa kwa sera hiyo mpya kwa kusema kwamba kuitangaza "kutalisha risasi tu kwa maadui wa Israeli."
Akijibu swali kuhusu kama (kulingana na sera mpya) watu wengi watahamishwa (kutoka Ukanda) huo ili kurejesha amani na maisha katika Ukanda wa Gaza, Peres alisema kwamba "karibu theluthi moja ya wakazi wa kambi hiyo watapewa makazi mapya katika maeneo mengine. maeneo katika Ukanda au nje yake." Alithibitisha imani ya Israeli kwamba "kunaweza kuwa na haja ya kupunguza idadi ya watu kwa takribani watu 100,000."
Peres alionesha "matumaini ya kuhamishia familia zipatazo 10,000 kwenye Ukingo wa Magharibi, na idadi ndogo kwenda Israel," lakini aliwafahamisha Waingereza kwamba uhamisho wa kwenda Ukingo wa Magharibi na eneo la Israel "unahusisha matatizo ya kiutendaji kama vile gharama kubwa."
Waziri huyo alimweleza mwanadiplomasia wa Uingereza kwamba "wengi wa wale walioathiriwa, kwa kweli, wameridhika kujitafutia makazi bora mbadala na kulipwa fidia wakati vibanda vyao vinaondolewa, au kukubali vyumba vya hali ya juu vilivyojengwa na Wamisri huko El Arish, ambapo wanaweza. kuwa na makazi ya nusu ya kudumu."
Mwanadiplomasia wa Uingereza alimuuliza Peres: Je, Al-Arish sasa inachukuliwa kuwa ni upanuzi wa Ukanda wa Gaza?
Alijibu, "Kutumia makazi ya wazi kuna uamuzi wa vitendo kabisa."
Mwezi mmoja baadaye, jeshi la Israeli, katika mkutano rasmi, lilifahamisha idadi ya washirika wa kijeshi wa kigeni juu ya maelezo ya ziada juu ya mpango wa kuhamisha Wapalestina kutoka Gaza.
Wakati wa mkutano huo, Brigedia Jenerali Shlomo Gazit, mratibu wa shughuli katika maeneo yanayokaliwa, alisema kuwa jeshi lake "haliharibu (nyumba za Wapalestina huko Gaza) isipokuwa kama kuna makazi mbadala.
Hiki ndicho kizuizi pekee ambacho serikali ya kijeshi itakubali. Mchakato unategemea kiasi cha makazi mbadala inapatikana, ikiwa ni pamoja na Hiyo ni (inayoishi) Al-Arish
 Waisraeli walipanga kuwaweka Wapalestina waliofurushwa kwa nguvu kutoka Gaza katika nyumba zinazomilikiwa na maafisa wa Misri katika mji wa Al-Arish nchini Misri kabla ya Israel kuukalia kwa mabavu mwaka 1967.


Kulingana na ripoti ya Mwambata wa Jeshi la Anga la Uingereza kuhusu mkutano huo, Brigedia Jenerali Gazit aliulizwa kuhusu sababu ya kuchagua Sinai Kaskazini. Alisema, "Makazi huko Al-Arish yalichaguliwa kwa sababu ni mahali pekee ambapo kuna nyumba tupu na iko katika hali nzuri baada ya kukarabatiwa." Aliongeza, "Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Al-Arish, kwani nyumba zilizopo hapo awali zilikuwa za maafisa wa Misri."
Hali hii ilionekana kuwa tofauti, kutoka kwa mtazamo wa Waingereza, kwa kanuni tatu ambazo zilitangazwa na Jenerali Moshe Dayan, Waziri wa Ulinzi wa Israeli, akihakikisha udhibiti wa maeneo yaliyokaliwa baada ya vita vya 1967. Kanuni hizi ni: kiwango cha chini kabisa cha uwepo wa kijeshi, kiwango cha chini cha kuingiliwa katika maisha ya kawaida ya raia, Upeo wa mawasiliano au madaraja wazi na Israeli na ulimwengu wote wa Kiarabu.
Katika ripoti yake kuhusu hali ya Gaza, Idara ya Mashariki ya Karibu ya Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza ilisema, "Swali la kuvutia zaidi kwa siku zijazo ni ikiwa Israeli sasa iko tayari, kwa upande wa Gaza, kwa marekebisho ya kanuni tatu."
Kulingana na maoni ya balozi wa Uingereza nchini Israel, “kambi za wakimbizi huandaa mazingira bora kwa shughuli za waasi, ambayo ilifanya iwe vigumu kutekeleza sera ya kufungua madaraja,” ambayo alionesha imani yake ilikuwa imefaulu katika maeneo mengine yaliyokaliwa.
Balozi Barnes, katika ripoti ya kina kwa Waziri wa Mambo ya Nje, alionya kwamba kulingana na habari zake, UNRWA "inatarajia Israel kuamua suluhisho la kufukuzwa." Alisema shirika hilo "linaelewa tatizo la usalama la Israel," lakini "haliwezi kukubaliana na uhamisho wa kulazimishwa wa wakimbizi kutoka makwao, wala kuhamishwa kwao hata kwa msingi wa muda kwenda Al-Arish nchini Misri."
Hata hivyo, balozi huyo alieleza imani yake kwamba "makazi ya wakimbizi wa Gazan katika ardhi ya Misri huko Al-Arish ni mfano wa (Waisrael) kutojali maoni ya umma ya kimataifa."
Katika tathmini yake ya mpango wa siri wa Israel, Utawala wa Mashariki ya Karibu ulitahadharisha kwamba "chochote uhalali wa Israeli kwa sera hii ya mbali, hatuwezi kujizuia kuhisi kwamba Waisraeli wanapuuza kiasi cha hasira kwamba mafundisho haya (ya Israel) kulingana na kuunda ukweli. ardhini, duniani, huamsha.” Jumuiya ya Kiarabu na Umoja wa Mataifa. "Masuluhisho mengine" kwa shida ya Gaza.

Adhabu ya pamoja na ugaidi​

Maandamano yalifanyika katika medani ya Tahrir katikati mwa mji wa Cairo, kupinga mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya Gaza, baada ya Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi kutoa wito wa kufanyika maandamano kuelezea kukataa kwake mradi wowote wa kuwahamisha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza hadi Sinai.


Wakati huo huo, mjadala ulifanyika katika Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu kiwango ambacho sera ya Israeli inalingana na Mkataba wa Nne wa Geneva, ambao unafafanua majukumu ya nchi zinazozikalia kwa mabavu.
Kwa mujibu wa Kifungu cha 39 cha Mkataba huo, uhamisho wa mtu binafsi au wa pamoja umepigwa marufuku, pamoja na mchakato wa kuwafukuza watu kutoka eneo lililokaliwa hadi eneo la mamlaka inayokalia au eneo la nchi nyingine yoyote, iwe chini ya kukaliwa au la, na bila kujali nia ya hilo. chanzo. Mzozo wa Israel na Palestina: Siri ya Israel kuwafukuza maelfu ya Wapalestina kutoka Gaza mnamo 1971 yafichuliwa - BBC News Swahili
 
Israel ina watu waliofanya mambo ya kushangaza sana hapa ulimwenguni. Cha ajabu majirani zao, Hamas wanawachukulia poa tuu, ona sasa wameyatimba.

Hakuna stori ya vita tamu kama six day of war.

Hakuna story tamu ya bad guys kushindwa kama Operation thrunder bolt, iliyopigwa hapo Entebe, uganda.

Wayahudi wameshindikana! Mataifa makubwa yalijaribu kufanya angalau nusu wa mambo waliyofanya. Waliishia kushindwa vibaya sana. Refeer Munich masacre 1972, pale west Germany police walivyojaribu kuokoa mateka wa kiyahudi na kusababisha vifo vya mateka wote. operation eagle claw 1980, pale marekan alipotaka kuokoa watu wake iran.

Hawa watu wamepitishwa kwenye tanuru la moto kama dhahabu. Ndio maana nuru yao yang'aa Sana katika jamii za wanadamu Usoni mwa dunia. Wagermany wa Hilter walitaka kuwafuta na Holocaust Wakatoka imara zaidi, Hoover wa marekani akawaweka maghetoni, wakabaguliwa wasifanye kazi yoyote Formal huko amerika, wakanza na uigizaji kama utani ona leo wanavyoingiza fedha lukuki kutokana na fan ya uigizaji, dunia nzima yatazama filamu zao na kutukuza vipaji vyao.
 
Kwa sasa unafurahia, watakapomaliza na na Hamas,.walihamia Lebanon.utakuwa wa kwanza kujiliza. Wanaua watoto, sijui wanawake. Tarehe 7 Oct mlifanya hayahaya lakini leo mnalia vita iishe.
Najua muda si mrefu Huko lebanon kutakuwa magofu
Tulia dawa iwaingie
 
Israel ina watu waliofanya mambo ya kushangaza sana hapa ulimwenguni. Cha ajabu majirani zao, Hamas wanawachukulia poa tuu, ona sasa wameyatimba.

Hakuna stori ya vita tamu kama six day of war.

Hakuna story tamu ya bad guys kushindwa kama Operation thrunder bolt, iliyopigwa hapo Entebe, uganda.

Wayahudi wameshindikana! Mataifa makubwa yalijaribu kufanya angalau nusu wa mambo waliyofanya. Waliishia kushindwa vibaya sana. Refeer Munich masacre 1972, pale west Germany police walivyojaribu kuokoa mateka wa kiyahudi na kusababisha vifo vya mateka wote. operation eagle claw 1980, pale marekan alipotaka kuokoa watu wake iran.

Hawa watu wamepitishwa kwenye tanuru la moto kama dhahabu. Ndio maana nuru yao yang'aa Sana katika jamii za wanadamu Usoni mwa dunia. Wagermany wa Hilter walitaka kuwafuta na Holocaust Wakatoka imara zaidi, Hoover wa marekani akawaweka maghetoni, wakabaguliwa wasifanye kazi yoyote Formal huko amerika, wakanza na uigizaji kama utani ona leo wanavyoingiza fedha lukuki kutokana na fan ya uigizaji, dunia nzima yatazama filamu zao na kutukuza vipaji vyao.
Kwa uzoefu wako, Unadhani kitatokea kitu gani kwa vita inayoendelea baina yake Israel na makundi ya wababe wa vita HAMAS na Hezbollah?
Hebu sema japo kwa kifupi tuu.
 
Unakufa ukiwa kafiri?
Acha ujinga wewe Hakuna dini yoyote ile itakayokufanya ufike mbinguni. Dini ni utaratibu aliojiwekea MWANADAMU mwenyewe ili kumtafuta Mungu. YESU KRISTO NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA ya kufika kwa Mbinguni
 
heavy job use small mind😟😟😟😟😟😟😟
 
Kiduku wa korea njaa katika ubora wake naye anabweka tu hivi hawa marafiki wa wapalestina wanashindwa nini kuwasaidia wapalestina ili israel isiweze ingia gaza? Maana maneno yao yamekuwa meengi vitendo 0 Israel inajipigia tu gaza kama inavyotaka viroketi vinapanguliwa na irone dome
Mimi nilidhani huu ndio muda wao wakujibu alichofanya Marekani kwa kumuunga mkono Ukraine kivitendo na wao waiunge mkono Hamas kivitendo kumbe maneno matupu
 
Zote ni mbinu za vita wewe unaweza kuona wameomba poo kama walivyosema Gaza itageuka makaburi ya Israel, vita vitapigwana kwa mtindo mwingine. Acha wachukue kila kitu.
Ha ha haaaa. Naona mikono inaandika lakini nafsi inajuta
 
Sasa mbona mpaka sasa hawajatushangaza kwa kuwaokoa mateka walio tekwa kwenye kieneo kidogo kama robo ya Dar?
 
Back
Top Bottom