LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sikitumwa Ila Kwa kondoo waliopotea wa Israel....kila goti litapigwa na ulimi kukiri ya kwamba wewe ndiye Mungu mkuu na yesu 'uliyemtuma'....nitahukumu makabila kumi na mawili ya Israel..je waweza chukua chakula Cha watoto na kumpa mbwa!?
Mkuu,Karibu sana kwa Yesu,unakuwa na amani sana moyoni hata kama ukiwa huna pesa za kutosha,huko uliko utachomwa vibaya sana.
 
Zaidi ya Wazayuni 1405 wamejeruhiwa vibaya kutokana na mashambulizi ya Hezbollah.....
Hapo wamewaonjesha tu jee Hezbollah wakitangaza vita kamili jee si ndo Wazayuni watateketezwa wote?

Maelfu ya Wazayuni wamehamishwa kaskazini mwa Israel wengi wamejengewa mahema huko Telaviv

This is the number of 'Israelis' who were wounded in Hezbollah operations in the north.
A total of 1405

Israeli media announced that 1,405 Israeli were injured as a result of Hezbollah attacks
Idadi kwa kila hospital hiyo hapo[emoji1313][emoji1313]
20231114_171800.jpg
 
sasaivi Hamas wameanza kuomba poo, wanatoa ofa ya vita kusimama siku 5 ili wakimbie na wao wataachia mateka 70. tukimalizana na magaidi ya Gaza, Netanyahu amesema vita na Hezbollah haitapiganwa kwengine ila ndani ya Lebanon. waandae tu cement na nondo kujenga majengo mapya muda si mrefu kwasababu yale yaliyopo yatakuwa magofu. mtoto akililia wembe mpe.
 
Kitendo cha Hamas kuwapa Green light IDF sio bahati mbaya

Nimeona Wazayuni wakisherehekea kuchukua baadhi ya barabara kaskazini mwa Gaza huku wakichukua baadhi ya majengo na Viunga muhimu kaskazini mwa Gaza

Hii siyo ya bahati mbaya hata kidogo!! Hii inaitwa unamuacha adui aingie hadi ndani sana ikisha unaanza kumshughulikia ipasavyo

Wameachwa wasonge mbele bila tatizo hapo watawekwa mtu kati na hawatoamini kitakachowakuta watashambuliwa pande zote

Tayari wameshapoteza Vifaru na magari zaidi ya 190 hadi hivi sasa!!

Huko kaskazini mwa Israel Hezbollah anazidi kuchoma kambi zao hao waisrael tu

Hii Vita kwa tulipofika hakuna haja ya ceasefire najua wazayuni washaanza kuomba Ceasefire kwasasa wakati awali walikataa kwasababu washauona moto wa Hezbollah.

Kitakachowakuta Gaza hawatoamini, na tayari mtoto wa Rais wa Israel hajulikani kama yupo Hai au ni maiti huko Gaza

Hamas walivyosema Gaza itageuka kuwa kaburi la Wazayuni hawakukosea hata kidogo!!
 
Tu

TUsubirie watakavyolaani
 
Umeruhusu adui aingie hadi ikulu, bado unajidanganya ni mtego.
Kivita madhara yake ni makubwa sana adui kudhibiti maeneo ya katikati ya mji wako na sehemu muhimu.
Atakuchunguza akiwa hapo kwako,
Yale ambayo asingeyajua atayajua tena kwa.kutumia haohao wapalestina.
 
Back
Top Bottom