LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Taarifa za uwongo
 
We Choko hao mabasha zako hizzbolar walitia pua mwanzo tu wa vita walichopata wanakijua,wakakimbizwa mpk kwao na wakaambiwa tunawaweka kiporo.
Sasa we sijui unaongea nini,
Shughuli inaisha Gaza weekend hii.
Then huko Lebanon wataanza kuimbishwa Lede.
Iran kakunja mkia itakua hao
 
Yemen usiku huu wamevurumisha makombora kadhaa kuelekea Israel na mengi yamelenga shabaha na kuleta uharibifu mkubwa sana

Huu ni mji wa Eilat uliopo kusini mwa Israel na ni mji ambao pia una bandari pamoja na kufungwa mitambo ya kuzuia makombora ya masafa marefu na kati na kuwepo kwa meli za Marekani kwenye eneo na ndege za kivita za Israel zikiranda angani kulinda nchi dhidi ya Makombora, lakini makombora hayo yamelenga shabaha kikamilifu na kusababisha uharibifu mkubwa sana

Cheki video hiyo hapo[emoji1313][emoji1313]

The moment Yemeni ballistic missiles hit targets in the Eilat
Your browser is not able to display this video.
 
Sio kweli japo mm mkatoliki niko upande wa palestine.raman sahihi ni 1947
 
Nikutoe hofu bwana mwandishi, kwa video tu inaonyesha hayo mabomu yote yamedakiwa angani.
Hapo eliat kuna kitu kina daka mabomu kinaitwa arrow. Na ndicho kilichotokea kwa hayo unayoyaona yametoa mwanga tu.
Nimefatilia hapo red sea kuna aerial defence system. Hivo ni ngumu sana.
So update ni kwamba, hizo missiles hata hazijavuka territory ya israel.
Huo mwanga au ule kama moshi unaouona umetokea mbali sana na israel. Kwenye red sea maana yake. Maan mji wa eliat ndio huo unaouona.
Asante.
Mfatilie taarifa mkileta huku mzilete kamili, sio mna copy and paste.


Point of correction pia, eliat haikulengwa ila mabomu yametedakiwa juu ya eliat. Huo mwanga ni kama unavyoona mwezi ila unakua mbali sana.
Kama ulisoma physics vizuri utajua bomu linavyorushwa ili kufika eneo husika.
 
Yani hichi kipigo hawatakisahau kama Wana Akili wasirudie Tena Maana Nahisi Ukiponyoka Hapa Unaenda Kusimamia Tunduma huko Mpakani na Misri Alfu Kama Ndo Mimi Naishi Gaza Sirudi Tena Bora Niishi huko Ukingo wa Magharibi Kwa Raisi Wetu Mahamod Abasi Kumetulia Maisha Yanaenda Tuli Hawa wanajifanya Siasa Kali Ukanda Wa Gaza waache Wapate Wanacho kitaka
 

Ukingo wa magharibi show inaendelea kimya kimya kila siku idadi ya vifo inakua
 
Wewe mwarabu wa Tinde( Nzega) umejuaje hayo yote? Umewazidi hadi CIA,MOSSAD na M16 ambao hawalali wako field wakishirikiana na IDF kutafuta uwezekano wa kukomboa mateka Kikomando. Au unazani mpaka leo hawajui mateka walipo na wanaishije. UKUMBUKE HAO HAMAS KUNA BAADHI YAO WALISHADAKWA WAKIWA MAJERUHI HUKO GAZA NA WENGINE WAZIMA WANAENDELEA KUHOJIWA HUKO ISRAEL. Endelea kujidanganya na story za vijiweni. Watu wamezuia hadi mafuta ya mitambo yasiingie kwenye hospitals zote za Gaza unaona hawana akili. Mosad wameshikilia yote mawasiliano ya simu MFANO Tanzania Tigo,voda, Airtel na Halotel na Kila siku raia wa Gaza wanapokea ujumbe mfupi na wengine KUPIGIWA cm wapishe kwenye majengo yanayotaka kushushwa/ kushambuliwa na makombora ya Israel ndo maana unaona kadri vita inavyoendelea mbele uhalibifu wa miundo mbinu na majengo ni mkubwa lakini vifo ni vichache. NA MBAYA KABSA VITA IMEFIKIA PATAMU( ADUI YAKO MUOMBEE NJAA) Jordan ameonywa adondoshe kwa ndege vitu kama Pedi na na sabuni na dawa Panadol na maji basi tena kwenye maeneo maalumu.
 
Uongo! Hakuna nchi mashariki ya kati kwa kipindi hiki itajaribu kuleta pua kwa Israel!
 
Kwa uzoefu wako, Unadhani kitatokea kitu gani kwa vita inayoendelea baina yake Israel na makundi ya wababe wa vita HAMAS na Hezbollah?
Hebu sema japo kwa kifupi tuu.
Ushindi kwa Israel!
 
Mtoa mada ni mtu mwongo sana,na ninaogopa utailetea nchi hii watoto waongo, uongo ni sumu kali kuliko uchawi, IDF asubuhi hii wameshaingia kwenye ile hospital ambayo chini yake inasemekana kuna CP ya Hamas,next time Hamas don't poke a Bear huku umeshika fimbo, lazima uwe na RPG ndio ufanye hivyo!
 

Acha uongo Magari 190 unayajua?. Tatizo mmebakia kwenye propaganda.
 
Mlisema IDF haiwezi kuingia Gaza watamalizwa, Leo wameiteka Gaza mmeanza Kuja na sentesi zingine.
 
Najnakushukuru baba Kwa kuweka sawa,

Ahsante sana
 
Hamas wana manpower na vitendea kazi vya kumzunguka adui halafu hapo hapo izuie back up?

Kama jibu ni ndiyo basi idea yako ni sawa.

Kama jibu ni hapana jua mambo yameshaisha.
 
Tuongelee waafrica wenzetu hayo haya2husu bana!
yanatuhusu sana , ingia google umsome KIMCHE , MYAHUDI ALIYEKUJA KIPINDUA SERIKALI HALALI ILIYOCHAGULIWA KIDEMOKRASIA ZANZIBAR , mpaka leo leo zanzibar imekuwa uharo eti kuna muungano , na Tanganyika ndio hii unayoiona , nchi imedhibitiwa na wayahudi chini ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…