Western Gaza Kuna bahati,west bank ipo kaskazini mashariki mwa Gaza,na kati yao ni eneo la IsraelWapi hujaona mtansao wa Tunnels zao wameuonyesha walichimba hadi kurlekea western Gaza madhani walikuwa wakijipanga kupindua serikali ya mahamoud abbas
Nani alimweka Nyerere madarakani alipopinduliwa ? Hao waliomweka madarakani wameshikiliwa na Nani ?we jamaa acha kuji overdose kwahyo Tanzania ni koloni la israel na ccm ndio kibalaka wake, duh hahahaha! Ujinga ni mzgo mkubwa sana TZ
Hiyo habari yako kamili siipokei haina ukweli wowote. Mwenzako kaleta video ya ushahidi wewe umeleta nini?Milipuko imeonekana, ila nimekupa elimu, wengine tuna jicho la kutafuta habari kamili, nimekupa habari kamili nayo. Kama hujaridhika haya.
Waingereza,huenda alikua hataki kuungana na zenji,mapinduzi yalizimwa na waingereza wenyewe,siku chache baadae Tanganyika ikaungana na Zanzibar,siku ya jumapili,siku isiyo ya kaziNani alimweka Nyerere madarakani alipopinduliwa ? Hao waliomweka madarakani wameshikiliwa na Nani ?
Hivi una ubongo kweli..?
he! Mbona mlikua mnasema USA ndo kashikiliwa na muisrael leo tena mna muongeza muingereza mana nyerere kaachiwa madaraka na muingerezaNani alimweka Nyerere madarakani alipopinduliwa ? Hao waliomweka madarakani wameshikiliwa na Nani ?
Eti hii ni special military operation??! Nani kasema tena hayo? Wahusika wenyewe wanasema " Hii ni Vita.........."
Wamekosa Cha kutoka nacho njeKikosi Cha kijeshi Cha IDF kimegungua kaburi la halaiki ndani ya Hospitali ya Al Shifa. Swali ni je hizo maiti ni za nani?. Ni wale mateka au ni wagonjwa waliokufa.
Unabugia tu propaganda,hawajakuta kitu,humo palikua na wagonjwa mahututi,vitoto kwenye incubators...wanaleta propaganda waonekane wema!!..mbona wamezuwia misaada ya dawa toka jamii ya kimataifa!?Jeshi la IDF limeanza kugawa madawa kwenye Hospitali ya Al Shifa Baada ya kulidhibiti kundi la Hamas kwenye eneo Hilo. Pamoja na hayo jeshi Hilo limekuta Silaha mbali mbali za Hamas na Sasa linawahoji waafanyakazi wa Hospitali kuhusu mambo mbalimbali, huku operation Chini ya mahandaki ikiendelea.
REDIO GWAJIMA AU TV GWAJIMA HIYO ??Jeshi la IDF limeanza kugawa madawa kwenye Hospitali ya Al Shifa Baada ya kulidhibiti kundi la Hamas kwenye eneo Hilo. Pamoja na hayo jeshi Hilo limekuta Silaha mbali mbali za Hamas na Sasa linawahoji waafanyakazi wa Hospitali kuhusu mambo mbalimbali, huku operation Chini ya mahandaki ikiendelea.
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
OK. basi nakubaliana na wewe. towashi ni mwanaume hanithi na kwa enzi za tamaduni za kiajemi alikuwa ni yule aliyehasiwa ili awe hanithi kwa ajili ya kwenda kufanya kazi kwenye jumba la kifalme. hiyo ndio historia yao. na haimaanishi kwamba towashi ni shoda, NO.I think umepanda mtumbwi wa vibwengo kwa mbele
nimeweka iyo reply kwa dogo alie Sema yesu Ali halalisha ushoga ili anioneshe uo ushoga
Eunuch = Towashi
Yesu yu karibu kurudi, atashuka na mawingu kweli, ila hatashukia Gaza, haijawahi kuandikwa hivyo kwenye Biblia, ila atashukia mlima wa Mizeituni (mount olives)Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14
Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao
Mbarikiwe sana!