LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
ISRAEL IS A TERRORIST STATE
 

Attachments

  • IMG_6214.jpeg
    IMG_6214.jpeg
    97.9 KB · Views: 4
Israeli fake propaganda
They want to legalise the killing of wounded kids and women
#IsraeliTerrorism
 
we jamaa acha kuji overdose kwahyo Tanzania ni koloni la israel na ccm ndio kibalaka wake, duh hahahaha! Ujinga ni mzgo mkubwa sana TZ
Nani alimweka Nyerere madarakani alipopinduliwa ? Hao waliomweka madarakani wameshikiliwa na Nani ?
 
Milipuko imeonekana, ila nimekupa elimu, wengine tuna jicho la kutafuta habari kamili, nimekupa habari kamili nayo. Kama hujaridhika haya.
Hiyo habari yako kamili siipokei haina ukweli wowote. Mwenzako kaleta video ya ushahidi wewe umeleta nini?
 
Kikosi Cha kijeshi Cha IDF kimegungua kaburi la halaiki ndani ya Hospitali ya Al Shifa. Swali ni je hizo maiti ni za nani?. Ni wale mateka au ni wagonjwa waliokufa.
 
Jeshi la IDF limeanza kugawa madawa kwenye Hospitali ya Al Shifa Baada ya kulidhibiti kundi la Hamas kwenye eneo Hilo. Pamoja na hayo jeshi Hilo limekuta Silaha mbali mbali za Hamas na Sasa linawahoji waafanyakazi wa Hospitali kuhusu mambo mbalimbali, huku operation Chini ya mahandaki ikiendelea.
 
Jeshi la IDF limeanza kugawa madawa kwenye Hospitali ya Al Shifa Baada ya kulidhibiti kundi la Hamas kwenye eneo Hilo. Pamoja na hayo jeshi Hilo limekuta Silaha mbali mbali za Hamas na Sasa linawahoji waafanyakazi wa Hospitali kuhusu mambo mbalimbali, huku operation Chini ya mahandaki ikiendelea.
Unabugia tu propaganda,hawajakuta kitu,humo palikua na wagonjwa mahututi,vitoto kwenye incubators...wanaleta propaganda waonekane wema!!..mbona wamezuwia misaada ya dawa toka jamii ya kimataifa!?
 
Jeshi la IDF limeanza kugawa madawa kwenye Hospitali ya Al Shifa Baada ya kulidhibiti kundi la Hamas kwenye eneo Hilo. Pamoja na hayo jeshi Hilo limekuta Silaha mbali mbali za Hamas na Sasa linawahoji waafanyakazi wa Hospitali kuhusu mambo mbalimbali, huku operation Chini ya mahandaki ikiendelea.
REDIO GWAJIMA AU TV GWAJIMA HIYO ??
 
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli

Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.

Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.

Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.

Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.

Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.

Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.

Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.

Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.

Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI

Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
1700050512478.png
 
Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14

Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao

Mbarikiwe sana!
 
Huwa nasikiaga wakubwa wakisema

Mtu akizeeka, akili zake hugeuka na kuwa za kitoto

Hilo andiko johnthebaptist unapolisoma huwa unaelewa linamaanisha watoto wa gaza?

Elewa hivi, mara nyingi Yesu alipenda kuzungumza kwa mifano

Anapozungumzia watoto wadogo waende kwake, ni wale waliotayari kwenda kwa Yesu, na hao watoto ni wale tu wenye mioyo kama watoto wadogo

Wepesi wa kusamehe na kusahau, hawabebi kinyongo, watoto hao ni wale tu, waliompokea Yesu na kumfuata

Wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika wana" na si kwa maana yako John
 
I think umepanda mtumbwi wa vibwengo kwa mbele

nimeweka iyo reply kwa dogo alie Sema yesu Ali halalisha ushoga ili anioneshe uo ushoga

Eunuch = Towashi
OK. basi nakubaliana na wewe. towashi ni mwanaume hanithi na kwa enzi za tamaduni za kiajemi alikuwa ni yule aliyehasiwa ili awe hanithi kwa ajili ya kwenda kufanya kazi kwenye jumba la kifalme. hiyo ndio historia yao. na haimaanishi kwamba towashi ni shoda, NO.
 
Yesu alisema " waacheni watoto Wadogo waje kwangu kwa maana walio mfano wa hawa Ufalme wa mbinguni ni wao" Mt 19:14

Kwa namna Watoto Wadogo walivyouawa pale Gaza ni Lazima Yesu atarudi na Wayahudi Watatubu Dhambi zao

Mbarikiwe sana!
Yesu yu karibu kurudi, atashuka na mawingu kweli, ila hatashukia Gaza, haijawahi kuandikwa hivyo kwenye Biblia, ila atashukia mlima wa Mizeituni (mount olives)
 
Back
Top Bottom