inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Injini za USA...were made to adapt powerful USA engines,mbona umeacha hiyo part!?..haya lete magari yanayotengenezwa Israelhe Israeli Air Force has operated a number of domestically produced types such as the IAI Nesher, and later, the more advanced IAI Kfir.
The Barak tank was developed jointly by the Defense Ministry's Armored Vehicles Directorate and the IDF's Ground Forces and Armored Corps, and includes systems developed by several Israeli defense firms, including Elbit Systems, Rafael, and the Israel Aerospace Industries' Elta subsidiary, among other companies.
kawape taarifa na wala ubwabwa wenzio.
Astaghafulillah!!Uko wapi nikuletee kilo mbili za kitimoto choma na bia kadhaa!?
mtatuambia watakachosema. kama wanataka kujisalimisha au wanataka wafe kibudu mtujulishe.
Kwa sababu akili hawana na wameishiwa mbinu. Wamafanya ivyo kutafuta huruma, kuwasakizia IDF ionekane wao ndio wakorofiIf Hamas wanted to use someone as a shield, it would use the hostages it has. Why would he use his own people?
Lugha ndiyo mchawi😂Kwa sababu akili hawana na wameishiwa mbinu. Wamafanya ivyo kutafuta huruma, kuwasakizia IDF ionekane wao ndio wakorofi
Nimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.Lugha ndiyo mchawi😂
Hujui English,watu tumejuana na English 1990,we unajidaia 2007!!....mbavuNimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.
Hamas hawezi kutumia hostage kwa sababu wanajua ndio utakua mwisho wao. Na ndio maana nikakwambia akili hawana ndio maana wanawafanya raia na watoto wafe ili lawama ,ibaki kwa IDF. Kama hujanielewa tena sema nirudie maana inaonekana kichwa ngumu kweli we jamaa
Mkuu sijajidai nimemjibu aliyesema sielewi lugha. Nimeamua kumdadavulia mwaka 2007 nimeanza kuongea proper english na sio brokenHujui English,watu tumejuana na English 1990,we unajidaia 2007!!....mbavu
Hujui,umeshindwa kuelewa ile lugha aliyopostMkuu sijajidai nimemjibu aliyesema sielewi lugha. Nimeamua kumdadavulia mwaka 2007 nimeanza kuongea proper english na sio broken
Sababu kubwa Wakristo wa Afrika hasa upande wetu version yao ya Ukristo inatoka kwa Wazungu ambao lengo lake ni kuwa chawa wa west.Wasalaam wanajamvi, nimekuwa nikisikiliza wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kisiasa wakidai mgogoro wa ISRAEL na PALESTINA siyo wa kidini.Swali langu sasa,ni Kwa nini WAKRISTO huku Afrika mashariki wapo upande wa waisrael na waislamu wapo upande wa wapalestina?
Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.Ile video imeeleza vizuri sana sijui kwa nini mmeamua kukaza mafuvu
Hiyo video yako unayoipromote humu si inaonesha Sollar? Hio ni Equivalent ya Hospitali ya Taifa/Rufaa kuwa na Emergency power system si jambo la ajabu.Sasa wewe kama Gaza haina umeme kwa muda wa mwezi mzi.a hizo MRI machines zinafanyaje kazi? Akili za viongozi wenu ni ndogo ndio maana wakawa wanahifadhi huko.
We kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?anatengeneza vifaru vya kijeshi, ndege za kijeshi, bunduki na vitu kibao. wakati hamas anategemea toka nchi za nje, israel akizingira Gaza yote hamas hataingiza silaha kirahisi . au mmeaminishwa huko kwenye majumba yenu kwamba Israel hana uwezo kutengeneza vifaru vyake na ndege za kivita? na drones kibao za kisasa kabisa.
1990 wengine tunapiga hiyo lugha vizuri tu,Hujui English,watu tumejuana na English 1990,we unajidaia 2007!!....mbavu
Wavaa kobazi wameyatimba.BREAKING: HAMAS PRESS CONFERENCE STATEMENT
“Hamas leader Osama Hamdan: Al-Qassam Brigades were able to damage 33 enemy vehicles during the last 48 hours.
It is not reasonable to store weapons next to MRI machines in any hospital, as the occupation claims
Enemy forces were the ones who brought the alleged weapons in boxes to Al-Shifa Hospital
The enemy’s story regarding the alleged weapons in the Shifa complex represents a scandal for him in all its aspects
We repeat the demand of international organizations to form a committee to monitor hospitals to expose the falsity of the occupation’s claims
The American administration provided complete cover for the killings and war crimes carried out by the occupation in the Al-Shifa Complex.
The occupation’s goal in attacking hospitals, bombing bakeries, and destroying vital facilities is to displace our people from their land
Wafilisti watu wa hovyo sana.
Mzee kashabariki sasa kwa uchungu sana,nafkiri alikuwepo sorbibor huyu.