LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
he Israeli Air Force has operated a number of domestically produced types such as the IAI Nesher, and later, the more advanced IAI Kfir.

The Barak tank was developed jointly by the Defense Ministry's Armored Vehicles Directorate and the IDF's Ground Forces and Armored Corps, and includes systems developed by several Israeli defense firms, including Elbit Systems, Rafael, and the Israel Aerospace Industries' Elta subsidiary, among other companies.

kawape taarifa na wala ubwabwa wenzio.
Injini za USA...were made to adapt powerful USA engines,mbona umeacha hiyo part!?..haya lete magari yanayotengenezwa Israel
 
Kuna documentary moja nilikuwa naona Alqasam wanazama baharini kuokota vipande vya mabomu na makombora yaliyozama baharini yaliyowahi tumika vita ya kwanza na ya pili ya dunia , wanaokota na kukata vipande vya chuma kutoka kwenye meli zilizozama na kutumia kutengeneza silaha ,wanatumia pia masalia ya makombora na mabomu yanayorushwa na Israel kutengeneza roketi
Imagine wasingekuwa wamezingirwa na mipaka yao kushikiliwa na wazayuni ,unafikiri wangekuwa wapi ?
Kwanza tu ule ubunifu wa kujenga miundo mbinu chini ya ardhi kwa level ile na resources kidogo sana walizonazo ,inabidi kuwapigia salute

Trully ingenius people
 
If Hamas wanted to use someone as a shield, it would use the hostages it has. Why would he use his own people?
Kwa sababu akili hawana na wameishiwa mbinu. Wamafanya ivyo kutafuta huruma, kuwasakizia IDF ionekane wao ndio wakorofi
 
Lugha ndiyo mchawi😂
Nimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.

Hamas hawezi kutumia hostage kwa sababu wanajua ndio utakua mwisho wao. Na ndio maana nikakwambia akili hawana ndio maana wanawafanya raia na watoto wafe ili lawama ,ibaki kwa IDF. Kama hujanielewa tena sema nirudie maana inaonekana kichwa ngumu kweli we jamaa
 
Nimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.

Hamas hawezi kutumia hostage kwa sababu wanajua ndio utakua mwisho wao. Na ndio maana nikakwambia akili hawana ndio maana wanawafanya raia na watoto wafe ili lawama ,ibaki kwa IDF. Kama hujanielewa tena sema nirudie maana inaonekana kichwa ngumu kweli we jamaa
Hujui English,watu tumejuana na English 1990,we unajidaia 2007!!....mbavu
 
Makombora ya Hezbollah yameharibu hadi vituo vya umeme huko kaskazini mwa Israel hakuna umeme kabisa na wazayuni wengi wamekimbia na kuhamishwa kaskazini mwa Israel

This is insane. For the first time since the creation of Israel, the Israeli settlements have gone dark while the Lebanese villages facing them are illuminated. Almost all Israeli settlements along the Lebanese borders were evacuated out of fear of Hezbollah. ([emoji328] )
20231116_234420.jpg
 
Wasalaam wanajamvi, nimekuwa nikisikiliza wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kisiasa wakidai mgogoro wa ISRAEL na PALESTINA siyo wa kidini.Swali langu sasa,ni Kwa nini WAKRISTO huku Afrika mashariki wapo upande wa waisrael na waislamu wapo upande wa wapalestina?
Sababu kubwa Wakristo wa Afrika hasa upande wetu version yao ya Ukristo inatoka kwa Wazungu ambao lengo lake ni kuwa chawa wa west.

Wakristo wa Middle East, South America, Urusi na maeneo mengine ambayo hayapo influenced na west wapo upande wa Palestina.

Vita hii Nchi za South America zimekuwa na Guts kuliko hata hizo za kiarabu.
 
Ile video imeeleza vizuri sana sijui kwa nini mmeamua kukaza mafuvu
Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.

Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.

Huu ndo uongo mnadanganywa.

 
Sasa wewe kama Gaza haina umeme kwa muda wa mwezi mzi.a hizo MRI machines zinafanyaje kazi? Akili za viongozi wenu ni ndogo ndio maana wakawa wanahifadhi huko.
Hiyo video yako unayoipromote humu si inaonesha Sollar? Hio ni Equivalent ya Hospitali ya Taifa/Rufaa kuwa na Emergency power system si jambo la ajabu.

Pia video unayoiweka wenzako washaidelete, kuna video mpya wame edit hii yako ni ya zamani. Hii inaonesha uongo nje nje, Hio mpya wametoa vipande baadhi ili uonekane kama ukweli.
 
anatengeneza vifaru vya kijeshi, ndege za kijeshi, bunduki na vitu kibao. wakati hamas anategemea toka nchi za nje, israel akizingira Gaza yote hamas hataingiza silaha kirahisi . au mmeaminishwa huko kwenye majumba yenu kwamba Israel hana uwezo kutengeneza vifaru vyake na ndege za kivita? na drones kibao za kisasa kabisa.
We kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?
 
Hujui English,watu tumejuana na English 1990,we unajidaia 2007!!....mbavu
1990 wengine tunapiga hiyo lugha vizuri tu,
yaani tumezaliwa nayo
Mi naitwa nikaongee na muwekezaji miaka hiyo maana wengine hawaeleweki.
Napiga yai jamaa analainika miaka ya 90 hiyo.
 
BREAKING: HAMAS PRESS CONFERENCE STATEMENT

“Hamas leader Osama Hamdan: Al-Qassam Brigades were able to damage 33 enemy vehicles during the last 48 hours.

It is not reasonable to store weapons next to MRI machines in any hospital, as the occupation claims

Enemy forces were the ones who brought the alleged weapons in boxes to Al-Shifa Hospital

The enemy’s story regarding the alleged weapons in the Shifa complex represents a scandal for him in all its aspects

We repeat the demand of international organizations to form a committee to monitor hospitals to expose the falsity of the occupation’s claims
The American administration provided complete cover for the killings and war crimes carried out by the occupation in the Al-Shifa Complex.

The occupation’s goal in attacking hospitals, bombing bakeries, and destroying vital facilities is to displace our people from their land
Wavaa kobazi wameyatimba.
 
Back
Top Bottom