LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Marekani hivi sasa haina u super power kama ilivyokuwa awali, ushawishi sio kama zamani, Israel inatembelea status ya ile miaka zilipendwa, hayo yalishapita, sasa hivi nchi nyingi tu zinatunishiana misuli na US,, mambo yanabadilika. Israel inafikiri inaogopwa kama ile miaka, sasa hivi US haiwezi hata kutaka vita na China. Marekani inajitahidi kurudi kuwa kama ilivyokuwa awali ikiogopwa lakini tunaelekea kwenye balance of power.
 
Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.

Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.

Huu ndo uongo mnadanganywa.

View attachment 2816012

Code names we bwege,
huyo malaya nae ni wale hammas mnaita wamama wako ulaya huko kwa ukimbizi wanatuma hela na ndio wanaweka video zote mitandaoni.
Waume zao wanachapwa huko km kawaida.
 
Nimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.

Hamas hawezi kutumia hostage kwa sababu wanajua ndio utakua mwisho wao. Na ndio maana nikakwambia akili hawana ndio maana wanawafanya raia na watoto wafe ili lawama ,ibaki kwa IDF. Kama hujanielewa tena sema nirudie maana inaonekana kichwa ngumu kweli we jamaa
Daaah huenda tunatukanwa na watoto wetu humu mwaka 2007 ndiyo umeanza kuongea kiingereza halaf kama unavyosema tena unatamba unaniuliza eti nilikuwa wapi,😂😂 sikujibu tena aiseee wewe ni mwanangu.
Nakala kwa
kahtaan
THE BIG SHOW
 
We kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?
Hawa ni mashabiki mandazi wengi wao wameujua huu mgogoro kupitia JF Gaza kila kitu kikiingia lazima Israel waone wakague hata kuvua samaki wamepangiwa maeneo meli ikiingia Gaza lazima wajue imebeba nini.
 
Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.

Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.

Huu ndo uongo mnadanganywa.

View attachment 2816012
Hilo karatasi lote linaongelea days of the week pekee? Naona lina maandishi mengi hebu nisaidie hayo ya chini yana maanisha nini mwarabu feki
 
Hiyo video yako unayoipromote humu si inaonesha Sollar? Hio ni Equivalent ya Hospitali ya Taifa/Rufaa kuwa na Emergency power system si jambo la ajabu.

Pia video unayoiweka wenzako washaidelete, kuna video mpya wame edit hii yako ni ya zamani. Hii inaonesha uongo nje nje, Hio mpya wametoa vipande baadhi ili uonekane kama ukweli.
Baba Mwajuma hebu acha kumdhalilisha mwanao kwa mambo unayowexa kuyaepuka. Kwanza hakuna video yoyote mimi nimewahi post humu. Pili kuhusu video ya MRI mashine ni imeanza kusambaa jana vyombo vingi vya habari vimeipost siku ya jana. Kuhusu solar system nilizungumza kuhusu yale mahandaki namna ya upatikanaji wa mwanga mule ndani walikua pia wanatumia hiyo njia.

Kwahiyo ndugu usijaribu kunichanganyia habari nachozungumza nakijua sikurupuki.
 
We kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?
Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandaki
 
Daaah huenda tunatukanwa na watoto wetu humu mwaka 2007 ndiyo umeanza kuongea kiingereza halaf kama unavyosema tena unatamba unaniuliza eti nilikuwa wapi,😂😂 sikujibu tena aiseee wewe ni mwanangu.
Nakala kwa
kahtaan
THE BIG SHOW
Unaona ulivyo nimekwambia toka 2007 ndio naielewa na kuiongea kwa usahihi sijataja nilikua wapi au nilikua nafanya nini. Lengo langu nikuoneshe nina experince ya miaka 16 naongea proper english. Anyways naheshimu mawazo yako inawezekana kweli unachokisema ila sijawahi kumdharau mtu hasa napozidiwa hoja na niliyemzidi umri.

So with all due repect goodluck dear grand pa.
 
Code names we bwege,
huyo malaya nae ni wale hammas mnaita wamama wako ulaya huko kwa ukimbizi wanatuma hela na ndio wanaweka video zote mitandaoni.
Waume zao wanachapwa huko km kawaida.
Hata kama Kiarabu hujui hata Alhamisi hujui? Ukiangalia tu kwa makini unaona ile ni calender.
 
Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandaki
Ak 47 ni Homemade siku nyingi tu, mbona kuna video kibao zinaonesha namna Hamas wanavyopata silaha, toka 2007 Gaza imefungiwa huwezi pitisha chochote cha maana, Wanatumia Machine Gun za Enzi za mwalimu, kama mdau hapo juu alivyokwambia wanazamia hadi kwenye maji kupata Vyuma vya silaha, Hizo rocket Israel anazorusha na mabomu mengine wana Recycle kama Silaha, Israel karusha mabomu zaidi YA 1000 vita hii, hayo hayo in future yatarushwa Israel na Hamas.

Hii article inaelezea jinsi Yasin (RPG za Hamas) zinavyotengenezwa

Baba Mwajuma hebu acha kumdhalilisha mwanao kwa mambo unayowexa kuyaepuka. Kwanza hakuna video yoyote mimi nimewahi post humu. Pili kuhusu video ya MRI mashine ni imeanza kusambaa jana vyombo vingi vya habari vimeipost siku ya jana. Kuhusu solar system nilizungumza kuhusu yale mahandaki namna ya upatikanaji wa mwanga mule ndani walikua pia wanatumia hiyo njia.

Kwahiyo ndugu usijaribu kunichanganyia habari nachozungumza nakijua sikurupuki.
Kwa hio unaamini Shule ya Msingi ina Solar ila Hospitali kubwa kushinda zote Gaza haina. Mahaba niue
 
Hilo karatasi lote linaongelea days of the week pekee? Naona lina maandishi mengi hebu nisaidie hayo ya chini yana maanisha nini mwarabu feki
Juu mwezi wa 10 chini mwezi wa 11 zoom mwenyewe uangalie usishikwe akili ukadanganywa
Screenshot_20231117-104029.png
 
Waislam wanaunga mkono Palestina kwa sababu ya udini ndio, lakini kwa wakristo kuunga mkono Israeli labda kwa mtazamo mwingine sio dini, kwa sababu wa Israeli sio wakristo badala yake ni wapinga kristo
Kwa hiyo ukimbariki mpinga kristo nawe utabarikiwa na ukimlaani nawe utalaaniwa!!!?
 
Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandaki
Kwa faida ya JF hayo mahandaki yanapitisha silaha zinatokea wapi?
 
LEAKED VIDEO SHOWS HISTORY OF HUMAN RIGHTS VIOLATIONS - HE WAS 13 AT THE TIME

The Israeli army shot, trampled, and beat him.

Huyu mtoto naye ni Hamas unadhani ukishamaliza kumpiga risasi ndiyo unaifuta Hamas, hapa ni kusubiri kulipiza kisasi kwa njia yeyote ile.
 
🚨 JUST IN: Imminent Prisoner Deal Between Israel and Hamas

- A prisoner deal between Israel and Hamas, involving the exchange of 50 prisoners on each side, will focus on women and children.

- The agreement is expected to include a 3-day truce in Gaza.

- Israel has agreed to allow limited quantities of fuel into the Gaza Strip under UN supervision.

Source: Al Arabiya
 
Attachments

  • IMG_6340.jpeg
    IMG_6340.jpeg
    61.8 KB · Views: 5
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
 
Back
Top Bottom