100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Marekani hivi sasa haina u super power kama ilivyokuwa awali, ushawishi sio kama zamani, Israel inatembelea status ya ile miaka zilipendwa, hayo yalishapita, sasa hivi nchi nyingi tu zinatunishiana misuli na US,, mambo yanabadilika. Israel inafikiri inaogopwa kama ile miaka, sasa hivi US haiwezi hata kutaka vita na China. Marekani inajitahidi kurudi kuwa kama ilivyokuwa awali ikiogopwa lakini tunaelekea kwenye balance of power.