100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.
Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.
Huu ndo uongo mnadanganywa.
View attachment 2816012
Code names we bwege,Video feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.
Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.
Huu ndo uongo mnadanganywa.
View attachment 2816012
Daaah huenda tunatukanwa na watoto wetu humu mwaka 2007 ndiyo umeanza kuongea kiingereza halaf kama unavyosema tena unatamba unaniuliza eti nilikuwa wapi,😂😂 sikujibu tena aiseee wewe ni mwanangu.Nimeanza kuielewa lugha ya kiingereza na kuiongea kwa ufasaha mwaka 2007(sijui wewe ulikua wapi) mpaka sasa hakuna nisichoelewa. Labda nikutafsrie ambacho hujaelewa.
Hamas hawezi kutumia hostage kwa sababu wanajua ndio utakua mwisho wao. Na ndio maana nikakwambia akili hawana ndio maana wanawafanya raia na watoto wafe ili lawama ,ibaki kwa IDF. Kama hujanielewa tena sema nirudie maana inaonekana kichwa ngumu kweli we jamaa
Hawa ni mashabiki mandazi wengi wao wameujua huu mgogoro kupitia JF Gaza kila kitu kikiingia lazima Israel waone wakague hata kuvua samaki wamepangiwa maeneo meli ikiingia Gaza lazima wajue imebeba nini.We kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?
Wewe mvaa nini msalaba wa mbao?Wavaa kobazi wameyatimba.
Naona mnataka mnitoe kwenye mada husika. Haya kazakaza sijaelewaHujui,umeshindwa kuelewa ile lugha aliyopost
Hilo karatasi lote linaongelea days of the week pekee? Naona lina maandishi mengi hebu nisaidie hayo ya chini yana maanisha nini mwarabu fekiVideo feki kila mtu anaikosoa, Huyu Bidada mzungu ambaye anajifundisha kiarabu pia kakosoa.
Eti calender imeandikwa jumatatu, jumanne, jumatano jamaa anasema ni majina ya Magaidi ya Hamas.
Huu ndo uongo mnadanganywa.
View attachment 2816012
Baba Mwajuma hebu acha kumdhalilisha mwanao kwa mambo unayowexa kuyaepuka. Kwanza hakuna video yoyote mimi nimewahi post humu. Pili kuhusu video ya MRI mashine ni imeanza kusambaa jana vyombo vingi vya habari vimeipost siku ya jana. Kuhusu solar system nilizungumza kuhusu yale mahandaki namna ya upatikanaji wa mwanga mule ndani walikua pia wanatumia hiyo njia.Hiyo video yako unayoipromote humu si inaonesha Sollar? Hio ni Equivalent ya Hospitali ya Taifa/Rufaa kuwa na Emergency power system si jambo la ajabu.
Pia video unayoiweka wenzako washaidelete, kuna video mpya wame edit hii yako ni ya zamani. Hii inaonesha uongo nje nje, Hio mpya wametoa vipande baadhi ili uonekane kama ukweli.
Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandakiWe kilaza kweli, hapo nilipo bold, ina maana hujui kwa miaka kibao Gaza imezingirwa na Israel? Ina maana hujui Hamas wanatumia Home made Bombs sababu Wamezingirwa na Hawapewi Misaada ya Silaha?
Unaona ulivyo nimekwambia toka 2007 ndio naielewa na kuiongea kwa usahihi sijataja nilikua wapi au nilikua nafanya nini. Lengo langu nikuoneshe nina experince ya miaka 16 naongea proper english. Anyways naheshimu mawazo yako inawezekana kweli unachokisema ila sijawahi kumdharau mtu hasa napozidiwa hoja na niliyemzidi umri.Daaah huenda tunatukanwa na watoto wetu humu mwaka 2007 ndiyo umeanza kuongea kiingereza halaf kama unavyosema tena unatamba unaniuliza eti nilikuwa wapi,😂😂 sikujibu tena aiseee wewe ni mwanangu.
Nakala kwa
kahtaan
THE BIG SHOW
Hata kama Kiarabu hujui hata Alhamisi hujui? Ukiangalia tu kwa makini unaona ile ni calender.Code names we bwege,
huyo malaya nae ni wale hammas mnaita wamama wako ulaya huko kwa ukimbizi wanatuma hela na ndio wanaweka video zote mitandaoni.
Waume zao wanachapwa huko km kawaida.
Ak 47 ni Homemade siku nyingi tu, mbona kuna video kibao zinaonesha namna Hamas wanavyopata silaha, toka 2007 Gaza imefungiwa huwezi pitisha chochote cha maana, Wanatumia Machine Gun za Enzi za mwalimu, kama mdau hapo juu alivyokwambia wanazamia hadi kwenye maji kupata Vyuma vya silaha, Hizo rocket Israel anazorusha na mabomu mengine wana Recycle kama Silaha, Israel karusha mabomu zaidi YA 1000 vita hii, hayo hayo in future yatarushwa Israel na Hamas.Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandaki
Kwa hio unaamini Shule ya Msingi ina Solar ila Hospitali kubwa kushinda zote Gaza haina. Mahaba niueBaba Mwajuma hebu acha kumdhalilisha mwanao kwa mambo unayowexa kuyaepuka. Kwanza hakuna video yoyote mimi nimewahi post humu. Pili kuhusu video ya MRI mashine ni imeanza kusambaa jana vyombo vingi vya habari vimeipost siku ya jana. Kuhusu solar system nilizungumza kuhusu yale mahandaki namna ya upatikanaji wa mwanga mule ndani walikua pia wanatumia hiyo njia.
Kwahiyo ndugu usijaribu kunichanganyia habari nachozungumza nakijua sikurupuki.
Juu mwezi wa 10 chini mwezi wa 11 zoom mwenyewe uangalie usishikwe akili ukadanganywaHilo karatasi lote linaongelea days of the week pekee? Naona lina maandishi mengi hebu nisaidie hayo ya chini yana maanisha nini mwarabu feki
1990,muwekezaji gani!?1990 wengine tunapiga hiyo lugha vizuri tu,
yaani tumezaliwa nayo
Mi naitwa nikaongee na muwekezaji miaka hiyo maana wengine hawaeleweki.
Napiga yai jamaa analainika miaka ya 90 hiyo.
Kwa hiyo ukimbariki mpinga kristo nawe utabarikiwa na ukimlaani nawe utalaaniwa!!!?Waislam wanaunga mkono Palestina kwa sababu ya udini ndio, lakini kwa wakristo kuunga mkono Israeli labda kwa mtazamo mwingine sio dini, kwa sababu wa Israeli sio wakristo badala yake ni wapinga kristo
Kwa faida ya JF hayo mahandaki yanapitisha silaha zinatokea wapi?Zile RPG, AK47 walizokua wanatumia kupigania vita na zenyewe wanatengeneza wao? Hizo home made ni kuongezea tu ila wanaingiza silaha kama kawaida hasa kupitia mahandaki yao. Gaza ina channel kubwa ya mahandaki