LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ile Vita bado Ni ngumu, inatoa wasiwasi hasa matokeo yake, US anasema Gaza wapewe PLO, Netanyahu anasema maafisa wa PLO walishangilia mauaji yaliyofanywa na Hamas, hivyo haiwezekani, sijui anataka kuwafanya nini hao wapalestina, au kuwapeleka wapi, waarabu watafanya nini, mi ngoja niache kufuatilia hizi habari
 
Mkuu Shughuli iko kwenye mahandaki! Kwa Taarifa zisizo rasmi, nasikia kule ni machinjioni kwa pande zote mbili.
Usisahau kauli ya Netanyahu "Vita vitakuwa vigumu na vitachukua muda mrefu, lakini tutashinda"!
 
Uweni wanamgambo sio kushambulia clinic ya wazazi wenzenu hao wanauwa wanajeshi hila israel wao kushambulia misikiti na makanisa tu
hayaa sawa msilalamike mkipewa kichapo. wamekufa 50 israel watauliwa 1000 palestina.

tukubaliana no kulalamika.
 
Kwenye vita vifo kwa pande zote ni lazima...umeona Tunnel kwenye hospitali ya al-Shifa?
 
Wamezidiwa sasa wanaanza kuilaumu Iran tena si walisema wanauweza msondo wa Hamas? Netanyahu na waziri wake wa ulinzi watazeeka vibaya sasa[emoji1787]

"Waziri wa Ulinzi wa Israel: Iran imeamua kuzidisha mashambulizi dhidi yetu kupitia mawakala wake nchini Iraq, Syria na Yemen. Iran inazidisha mashambulizi dhidi yetu kupitia washirika wake, na tutajua jinsi ya kujibu kwa wakati, mahali na kwa nguvu inayofaa", Wazir wa Ulinzi wa Israel.

The hijacking of an Israeli cargo ship by the Houthis off Yemen in the southern Red Sea will have global consequences, but Israel will feel the pain initially.

Insurance costs for Israeli companies shipping goods through the Red Sea will rise exponentially.

Delays of shipments destined for Israel will increase due to the fear of being hijacked in the Red Sea, ships will have to use the South African shipping route.

Israeli goods will become expensive and buyers will seek alternatives.

 

Attachments

  • 20231116_002717.jpg
    19.1 KB · Views: 2
Nonsense,wapigania Allah mlioahidiwa mabikra 72 jehanum mnakazi kubwa sana.
 
At least 50 Zionist soldiers have been killed in the last 48 hours in Gaza Strip.

A worker working in an Israeli military cemetery:
"A funeral comes to us every hour or 90 minutes, and we buried 50 dead in two days."View attachment 2818590
Wafilisti wasiotahiriwa ni wangapi waliowahi mabikra 72 na mito ya ulevi mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…