nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Ile Vita bado Ni ngumu, inatoa wasiwasi hasa matokeo yake, US anasema Gaza wapewe PLO, Netanyahu anasema maafisa wa PLO walishangilia mauaji yaliyofanywa na Hamas, hivyo haiwezekani, sijui anataka kuwafanya nini hao wapalestina, au kuwapeleka wapi, waarabu watafanya nini, mi ngoja niache kufuatilia hizi habari