Dua la kuku halimpati mwewe! hivi nani kakalia jiji la daudi au jerusalem. basi huyo ni mshindi asiyeshindika!Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
gaza unanya nini! mbona hujaenda jesrusalem? mbona hujaenda hija sehemu amabyo mtume anaaminika alipaa mbinguni Al aqsa? si unadai kamasi kashinda usiishie hapo wewe nenda huru jiji la daudi jerusalem kashangilie huko maana kamasi kachukua kiti jerusalem. unaogopa nini? kama unaogopa basi aliyemiliki jiji la jerusalem tangia 1948 ndiye mshindi. tabia ya has na hisboolah ni hii: UKINIPIGA UMENIONEA UKINIACHIA BASI NI MBABE WAKO ! hii ndo unaiita ushindi?Ushasema "wahuni", sasa unataka nitazwme wahuni?
Hao watazame wewe, mimi nipo Ghaza sasa hivi.
israel inaamini mshahala wa dhambi ni mauti na Kamas au hamas inaamini mshahala wa dhambi ni soda ya milinda! hapo dhambi inalindwa na hamasi wakati Israel inataka kuiepuka. Vita haiishi tangia goliath apigwe na DavidUkanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
Unajua leo 50 mayahudi waanaachiwa mateka wakiwa ndani ya hospital waliozingira ISRAELI? Aljazera watakuwa onlineHaraka ya nini?
Video ya mjeshi wa IsrealChanzo cha habari....niamini bro
Israel na Wanamgambo wake Safari hii wameingia cha kike. Wanachezea kipigo kama cha hajaISRAELI soldier has a MENTAL BREAKDOWN over fighting Hamas
Ktk video ho jeshi huyo anasema.
1. Anapigana na majini maana hawaoni watu bali wanaona wao wanauliwa
2. Wana kila aina ya silaha lkn hawasongi mbele
3. Wenziwe wanapigwa na silaha na watu wasiowaona
4. Anauliza vita gani hivi?
5. Analia kwa kuhoji hawa Hamas nguvu hizi wanazitoa wapi?
Video inakuja hivi punde
View attachment 2822834
PoaMoja kamili ndiyo hIyo Gaza kunapaswa kuwa kimya. Ya msingi zaidi:
1. Watoto na wanawake mateka kuachiwa
2. Mahitaji ya kibinadamu kufikishwa Gaza.
Kwamba haya ndiyo yaliyokuwa masharti ya HAMAS tokea day 0?
Kwamba HAMAS hawakuwaua mateka wao?
Ama hakika HAMAS ni watu na magaidi ni hawa wengine!
Baadae Israel itaanza kuwashughulikia vizuri
Ujinga Ujinga tu ukikujia kichwani unapost tu!Moja kamili ndiyo hIyo Gaza kunapaswa kuwa kimya. Ya msingi zaidi:
1. Watoto na wanawake mateka kuachiwa
2. Mahitaji ya kibinadamu kufikishwa Gaza.
Kwamba haya ndiyo yaliyokuwa masharti ya HAMAS tokea day 0?
Kwamba HAMAS hawakuwaua mateka wao? Ni wazi kuwa hawakuuwa wanawake Wala watoto Kibbutz, Oct 7.
Ama hakika HAMAS ni watu na magaidi ni hawa wengine!
Ametepeta kwa lipi Sasa, kweli wapalestina wa Nyamanoro mko na tabu Sana.hIyo ni lugha ya vita mjomba. Laiti ungemwona Natenyahu alivyotepeta. Hapo ngoja familia za wengine zipate wa kwao.