Hamas kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga njia za chini ya Ardhi yaani Underground Tunnels kubwa mamia kutoka Gaza kwenda Israel. Mwanzoni njia hizo ndizo zimekuwa zikitumiwa ns Hamas kusafirisha silaha za kivita na Askari na pia kujenga vituo vyao vya kijeshi na maghala ya silaha chini ya ardhi
Israel wamekuja teknolojia ambayo kwa mara ya kwanza kutumiwa kijeshi ina uwezo wa kuona Underground tunnels zote chini ya Ardhi
Ajabu ya milango ya kuingilia kwenye hizo Tunnels ili ili kuficha Hamas wameziweka kwenye maeneo ya watu wengi zingine ziko kwenye misikiti,makanisa, mashule ,Hospitali, Maduka makubwa kama ma Supermarket, Majengo makubwa na makazi ya watu,Masokoni.nk Tunnels zinaanzia humo na kutambaa kuelekea Israel
Mashambulizi ya sasa hivi yamejikita zaidi kwenye Underground war ambako.zinatumika zaidi ndege.kubomoa hizo Tunnels na Askari wanaotumika sasa wa Israel ni waliobobea kwenye Underground war kupambana na Hamas kwenye Hizo Tunnels
Ndio maana kwa sasa vikosi vya jeshi la Juu ya ardhi kama Vifaru na Askari wa Nchi kavu ni hawana kazi kwa sasa vifaru vimepaki tu mpakani mwa Gaza wakisubiria wabobezi wa Underground war wamalize kazi ya kufurumisha Hamas na kuharibu kila kitu kwenye Tunnels zao ili wao waanze hiyo vita ya juu ya ardhi ya ground operation
Source: Vyombo mbalimbali vya habari