LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ujinga Ujinga tu ukikujia kichwani unapost tu!

Kwamba wewe ni kama mfu tu:

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg

Ujijueje mjomba?

Bure kabisa!
 
Watu wale wale waliowashangilia Hamas walipoivamia Israel 7 October ndio leo wanashangiilia malori ya Chakula, Dawa na Maji ya Msaada yayoingia Gaza kutokea Misri

Kuna siku hapa Duniani patakuwepo Taifa la CHAWA watupu

Siasa ni mbaya aisee

Jumaa Mubarak 😄
 
KASHFA: Israel Yazungumza kuhusu "Handaki za Hamas" Chini ya Hospitali; Lakini ISRAEL ndiyo iliyojenga vichuguu hivyo Miaka 40+ iliyopita!.

Kashfa ya kweli inaibuka katika mzozo unaoendelea wa Israel-Hamas, na kashfa hiyo sio tu Wapalestina 14,000 waliokufa. Katika kipindi chote cha mzozo huu, Israel imetetea mashambulizi yake ya mabomu kwa Hospitali na majengo mengine ya umma kwa kusema "Hamas ina vichuguu chini yake ambavyo wanavitumia kushambulia Israel." Dai hilo linatumika kuhalalisha kila kitu ambacho Israeli imefanya.

Maana yake ni kwamba Hamas ilijenga mahandaki hayo kwa madhumuni ya kuhama kwa siri ili kuishambulia Israel. Inageuka: ISRAEL ndiyo iliyojenga vichuguu hivyo miaka 40+ iliyopita, ili kutoa nafasi ya ziada kwa hospitali kufanya kazi!

Ifuatayo ni "Tweet" kwenye mtandao wa kijamii "X" (zamani ikijulikana kama Twitter), kutoka kwa Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF), inayoonyesha vichuguu chini ya Hospitali ya Al-Shifa na kutoa kila aina ya shutuma kuhusu Hamas:
Hata hivyo, katika video kutoka CNN hapa chini, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barack anakiri kwa Christiana Amanpour wa CNN, "Israeli ilijenga vichuguu hivyo" ili kuzipa hospitali nafasi zaidi ya kufanya kazi.

Kwa hivyo kwa upande mmoja, Israeli inapiga kelele juu ya "Handaki za Hamas" huku wakijua wakati wote, ni ISRAEL ndio waliojenga vichuguu hivyo. Kiwango cha ulaghai unaofanywa kwa umma, na Israel, kinashangaza.
Sasa, unajua ukweli.

Wakati huo huo, Israel sasa imeanza KUFURISHA vichuguu hivyo na maji ya bahari. Watamzamisha mtu yeyote ndani!
Hamas walisema hakuna Handaki
 
Watu wale wale waliowashangilia Hamas walipoivamia Israel 7 October ndio leo wanashangiilia malori ya Chakula, Dawa na Maji ya Msaada yayoingia Gaza kutokea Misri

Kuna siku hapa Duniani patakuwepo Taifa la CHAWA watupu

Siasa ni mbaya aisee

Jumaa Mubarak 😄

Si kuwa wale wale waliokuwa wakishangilia kuwa Israel aendelea na kipigo, hata kama mateka HAMAS na awaue tu hakuna kusitisha mapigani, ndiyo hao hao walioko hapa wameusahau uchawa wao?

Ama kweli:

Kuna siku hapa Duniani patakuwepo Taifa la CHAWA watupu
 
Mateka wa israel wakabidhiwa kwa Red cross

Mateka 12 raia wa Thailand waachiwa.
 
HAMAS imewaachia mateka 25 raia wa Israel na raia 12 wa Thailand kama sehemu ya kubadilishana mateka.

HAMAS imewakabizi mateka hao kwa watu wa Red Cross ambao nao wamewapeleka Egypt na kupokelewa.
20231124_194423.jpg
20231124_194428.jpg

Israel na USA wamekua wakiumiza kichwa kutaka kujua wapi mateka hawa walifichwa kwani kwa siku 50 mfululizo walishindwa kumpata hata mmoja.

Je wamefanikiwa kujua?!! Zipo taarifa kua HAMAS Wana mahandaki yenye teknolojia ya kisasa na ni kama mji chini ya ardhi- kuna ukweli baada ya hili kutokea?!
20231124_194857.jpg
 
Shukrani sana zikuendee Sheikh wetu Rashid Al Shukery, hakika umesimama pamoja na ndugu zetu waislamu/wapalestina dhidi ya Mazayuni.....maashallah, Allah akulipe kheri nyingi ndugu yetu.. Aamiin!

Bhujiku ng'waka!
 
HAMAS imewaachia mateka 25 raia wa Israel na raia 12 wa Thailand kama sehemu ya kubadilishana mateka.

HAMAS imewakabizi mateka hao kwa watu wa Red Cross ambao nao wamewapeleka Egypt na kupokelewa.View attachment 2823561View attachment 2823562
Israel na USA wamekua wakiumiza kichwa kutaka kujua wapi mateka hawa walifichwa kwani kwa siku 50 mfululizo walishindwa kumpata hata mmoja.

Je wamefanikiwa kujua?!! Zipo taarifa kua HAMAS Wana mahandaki yenye teknolojia ya kisasa na ni kama mji chini ya ardhi- kuna ukweli baada ya hili kutokea?!
View attachment 2823563

Hamas ni wanaume, na sio mashoga
 
Back
Top Bottom