LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Watu wale wale waliowashangilia Hamas walipoivamia Israel 7 October ndio leo wanashangiilia malori ya Chakula, Dawa na Maji ya Msaada yayoingia Gaza kutokea Misri

Kuna siku hapa Duniani patakuwepo Taifa la CHAWA watupu

Siasa ni mbaya aisee

Jumaa Mubarak 😄
 
Hamas walisema hakuna Handaki
 

Si kuwa wale wale waliokuwa wakishangilia kuwa Israel aendelea na kipigo, hata kama mateka HAMAS na awaue tu hakuna kusitisha mapigani, ndiyo hao hao walioko hapa wameusahau uchawa wao?

Ama kweli:

Kuna siku hapa Duniani patakuwepo Taifa la CHAWA watupu
 
Mateka wa israel wakabidhiwa kwa Red cross

Mateka 12 raia wa Thailand waachiwa.
 
HAMAS imewaachia mateka 25 raia wa Israel na raia 12 wa Thailand kama sehemu ya kubadilishana mateka.

HAMAS imewakabizi mateka hao kwa watu wa Red Cross ambao nao wamewapeleka Egypt na kupokelewa.
Israel na USA wamekua wakiumiza kichwa kutaka kujua wapi mateka hawa walifichwa kwani kwa siku 50 mfululizo walishindwa kumpata hata mmoja.

Je wamefanikiwa kujua?!! Zipo taarifa kua HAMAS Wana mahandaki yenye teknolojia ya kisasa na ni kama mji chini ya ardhi- kuna ukweli baada ya hili kutokea?!
 
Your browser is not able to display this video.

Shukrani sana zikuendee Sheikh wetu Rashid Al Shukery, hakika umesimama pamoja na ndugu zetu waislamu/wapalestina dhidi ya Mazayuni.....maashallah, Allah akulipe kheri nyingi ndugu yetu.. Aamiin!

Bhujiku ng'waka!
 

Hamas ni wanaume, na sio mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…