Umefafanua vzr, nimependa ufafanuzi wakoHamas kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga njia za chini ya Ardhi yaani Underground Tunnels kubwa mamia kutoka Gaza kwenda Israel. Mwanzoni njia hizo ndizo zimekuwa zikitumiwa ns Hamas kusafirisha silaha za kivita na Askari na pia kujenga vituo vyao vya kijeshi na maghala ya silaha chini ya ardhi
Israel wamekuja teknolojia ambayo kwa mara ya kwanza kutumiwa kijeshi ina uwezo wa kuona Underground tunnels zote chini ya Ardhi
Ajabu ya milango ya kuingilia kwenye hizo Tunnels ili ili kuficha Hamas wameziweka kwenye maeneo ya watu wengi zingine ziko kwenye misikiti,makanisa, mashule ,Hospitali, Maduka makubwa kama ma Supermarket, Majengo makubwa na makazi ya watu,Masokoni.nk Tunnels zinaanzia humo na kutambaa kuelekea Israel
Mashambulizi ya sasa hivi yamejikita zaidi kwenye Underground war ambako.zinatumika zaidi ndege.kubomoa hizo Tunnels na Askari wanaotumika sasa wa Israel ni waliobobea kwenye Underground war kupambana na Hamas kwenye Hizo Tunnels
Ndio maana kwa sasa vikosi vya jeshi la Juu ya ardhi kama Vifaru na Askari wa Nchi kavu ni hawana kazi kwa sasa vifaru vimepaki tu mpakani mwa Gaza wakisubiria wabobezi wa Underground war wamalize kazi ya kufurumisha Hamas na kuharibu kila kitu kwenye Tunnels zao ili wao waanze hiyo vita ya juu ya ardhi ya ground operation
Source: Vyombo mbalimbali vya habari
Inakujaga na mitusi tuu jamanSubiri mitusi toka kwa magaidi ya mudi na mnya azi allah
KabisaaKwa nin wasimwage petrol humo kwenye mashimo wakachoma moto....
Hao hamas kama panyaaa dawa yao motoo wa petrol.....
Mgahawa wanauza vitabu au macho yangu hayaoni vzrSiku zinavyoyoma ndio Hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Mgogoro unazidi kukuwa na kubadilika sura.
Chuki za wazi wazi (anti - semmetism) dhidi ya taifa la Israel zimerudi tena kutokana na udhalimu wa Mazayuni.
Huu ni mmoja ya mhagawa mkubwa nchini Uturuki umeweka bango linaliwazuia Wayahudi wasiingie katika mgahawa huo View attachment 2794213
Hilo ni suala la Mda Tyuu Mkuu na Ufumbuzi Unapatikana Very Soon Mambo yanakuwa MazuriWakiacha kukata umeme hovyo huenda nikabadilisha mtazamo na kumchagua huyo mama, ila 2025 huyo mama ni BIG NO!!!!!!!
Bomba la gas likifika tu Dar, mgao wa umeme utakuwa ni historia! Wajinga ndio waliwao.Hilo ni suala la Mda Tyuu Mkuu na Ufumbuzi Unapatikana Very Soon Mambo yanakuwa Mazuri
Lazima Ufumbuzi Upatikane. Nikilejea kauli ya Naibu Waziri Mkuu Kuwa Tanesco Wasipofikri badi Tutawasaidia Kufikiri.Bomba la gas likifika tu Dar, mgao wa umeme utakuwa ni historia! Wajinga ndio waliwao.
Inapendeza sana.Wote wana nyuso za furaha na afya nzuri.Walikuwa wamewekwa sehemu nzuri na kulishwa vyakula vya kwao ambavyo ni halali.Makabidhiano ya mateka imeleta gumzo kubwa duniani
Video inaonyesha wazee na watoto wa isreal wakiwakumbatia Hamas kwa kuwaaga na kuwatakia maisha mema.
letanyahu amekasirika kutolewa video hizi
View: https://x.com/WarMonitors/status/1728567462503846094?s=20
Images of the moments when Al Qassam Brigades released today's captives have been published. It takes a thousand witnesses to say that they are prisoners. The Israeli prisoners look very healthy and there is no sign on their faces that they are suffering.
Mod iache thread ili jamii ione. USIUDELETE wala kuihamisha
Hilo limeshashindikana, sasa hivi ni kubadili tu misemo ya kuwapumbaza wananchi.Lazima Ufumbuzi Upatikane. Nikilejea kauli ya Naibu Waziri Mkuu Kuwa Tanesco Wasipofikri badi Tutawasaidia Kufikiri.
yahNdio huyu mtoto