Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandamanaji mara kadhaa wamezuia magari kupita daraja la Manhattan katikati ya Newe YorkView attachment 2827115
Hii inawatisha sana mayahudi
Nilivyokuwa nasoma uwezo wao kijeshi,na niyaonayo sasa,nguvu zinaniishia.View attachment 2827115
Hii inawatisha sana mayahudi
Mateka tu wameshindwa kuwapata,wataweza Hilo?Hamas wote watakapo uawa
Atakaye waua ni nani?Hata dunia nzima waandame haizuii Hamas wote kuuliwa
Mkiuawa mnalia lia kama wachumba walioachwa
Sio kwamba wameshindwa! Ni hesabu ya kivita! Magaidi yako kwenyemashimo hakuna haja ya kuyafuata huko! Wee kaa kwenye malango yatakufa kwa njaa!Mateka tu wameshindwa kuwapata,wataweza Hilo?
Naona kama unamaumivu ya ndani, jadili habari ilio leta sio kutunga assumptions zako, hizo imani zenu za kimani zinawafanya kuonekana watu wajinga.Mtaweweseka sana. Basi tuseme wamekufa wanajeshi wote wa israel na hamas wameshateka mijinyote ya israel.[emoji23][emoji23][emoji23]