LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waache unafiki, waende Gaza kupigana na sio kujifariji hivyo.
Hii ni vita, na aliyeianzisha ni Hamas, itakwisha siku Hamas wote watakapo uawa au kukamatwa, haijarishi ni wapalestina wangapi wasiokuwa na hatia watakuwa wamekufa au kujeruhiwa. Israel amedhamiria kwa dhati.
 
Hao wote wakimbizi na wavaa kobazi,siku hizo nchi zikiamua warudi makwao wakasombwe na wazayuni wataishia kulia na kusaga meno.
Kuna sheria inaandaliwa huko ya kurudisha wote kwao.
Na wao hata hawajui kusoma bunge Ulaya linaongea nini
 
.
 

Attachments

  • IMG_20231127_175945.jpg
    IMG_20231127_175945.jpg
    56.7 KB · Views: 4
Hammas nao kwanini walivamia Israel na kuchukua mateka? Mambo mengine ni kujitakia.
 
Kumekuwa na ongezeko la askari wa Israel walioamua kuacha kupigana,wengi wao sababu ikiwa ni kutokukubaliana na malengo ya vita hvyo.

Mmoja wa askari hao kwenye video yake inayotembea kwenye mitandao ya kijamii amesema mengi na nukta muhimu ni hizi

1. Askari waliokwishakufa vitani ni karibu 3000.Magari mengi ya kijeshi na mabuldoza yamepigwa na kuharibiwa.

2. Hamas wanaofanya hayo ni watu wanaovaa suruali za adidas na malapa miguuni.

3. Israel isitarajie kuwamaliza Hamas ambao wako chini ya ardhi na mashimo yao haijulikani yanaishia wapi na wapi wanapopata mahitajio yao

4. Iwapo Israel haiwezi kuwamaliza Hamas ambao wamezingirwa kwa miaka kadhaa na kuzuiwa kukutana na wengine duniani.Israel isidanganywe na Marekani kwamba inawez ikapigana na Hizbullah ambao wana uzoefu mkubwa wa vita kwenye nchi kama Syria na wana mawasiliano yote na ulimwengu.

5. Bila Israel kufanya majadiliano ya kikweli kuwarudishia Palestina heshima zao basi ijiandae na kupoteza ardhi wanazozikalia kwa kupitia vita hivi.

Mfuatile kwenye facebook @Daizygedeon
 
Umekubali kuwa yesu ni mungu yohana 1:1 na isaya 9:6 mkubali yesu na achana na kujifunza kiarabu et peponi mtakuwa mnaongea kiarabu
 
Back
Top Bottom