LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mtaweweseka sana. Basi tuseme wamekufa wanajeshi wote wa israel na hamas wameshateka mijinyote ya israel.
Naona kama unamaumivu ya ndani, jadili habari ilio leta sio kutunga assumptions zako, hizo imani zenu za kimani zinawafanya kuonekana watu wajinga.
Hatuwezi kujaza server za jf kwa utumbo unaoubatiza kuwa ni habari.
 
Mtaweweseka sana. Basi tuseme wamekufa wanajeshi wote wa israel na hamas wameshateka mijinyote ya israel.

Hatuwezi kujaza server za jf kwa utumbo unaoubatiza kuwa ni habari.
Kisingizio cha kujaza server kisikufanye ukimbie ukweli kutoka kwa waliouna.
Na habari za server usijali sana.Kila siku unaweza kuongeza GB kutoka kwa hosting companies.
 
Kisingizio cha kujaza server kisikufanye ukimbie ukweli kutoka kwa waliouna.
Na habari za server usijali sana.Kila siku unaweza kuongeza GB kutoka kwa hosting companies.
Hakuna ndugu yangu aliyekufa huko, wale watu vita yao haiishi leo wala kesho. Kufa wataendelea kufa pande zote ila uzushi wako wadanganye wengine. Yaani mtu akitoka leo kwenda kuandika mahali kwamba yeye ni mwanajeshi aliyekimbia vita wewe ndio unakimbilia hapa kusema una habari.
 
We jamaa bana dah!

Hapo nyuma ulikuwa unaanzisha nyuzi nyingi za kulia lia. Hivi karibuni tena umekuwa mwanaplopaganda mkuu wa HAMAS kuzidi hata yule waziri wa habari wa Saddam Hussein wakati Iraq inapelekewa moto na Wamarekani.

Jaribu kuwa objective kidogo na uyaangalie mambo katika upana wake. Hii furaha unayoipata kwa hizi habari za kiplopaganda ni placebo tu lakini baada ya muda utagundua kuwa maumivu yako pale pale!

Takhbiiir!
 
Haiwezi kuwa kweli.
Ulaya watu hawafichi vifo vya wanajeshi maana ndugu zao wataongea tu.
 
allah akbar allauh akbar
takbiiiiiir watu wang wa mnyaaaazi
wazee wa kulia lia wazee wa kuokoteza vijihabari na kutunga tunga uongo mkiongozwa na kale ka bibi ka canada badala kaka ishi palestine au iran kame jichimbia Canada uku kakiongoza propaganda 😂😂
 
No this is not good jamani. Haya matusi ni makali. Mwana JF zingatia maudhui
Tulia wewe. Huyo fala alinitukana matusi makubwa sio kidogo. Mtu ananiita mtoto wa zinaa sijui na nini ilihali sio ya kweli na hanijui. Anamtusi mzazi wangu si kuvuka mipaka hapo. Na atakula matusi makali mara 7 ya haya maanina zake
 
Israeli imetoa malalamiko juu ya Wanamgambo wake zaidi ya 1000 kujeruhiriwa vibaya na wengine 202 wapo mahututi baada kupata kipigo kikali Gaza hali imesababasha Wanamgambo wengine waanze kutoroka uwanja wa vita

Tel Aviv has broken its silence over the number of soldiers injured during Gaza war.

The Israeli army says more than 1,000 soldiers have been wounded during the aggression on #Gaza, of which some 202 soldiers are in critical condition.
 
Marekani imesema Waziri wa Foreign Antony Blinken atatembelea Palestine na Israel wiki hii

Aidha wamesema msururu wa misaada wanayopeleka Gaza ikiwemo Mafuta na Miundombinu ya maji salama haihusiani na mkataba wa Kuachilia Mateka wa Israel na Hamas bali ni kuonyesha Upendo wao kwa wananchi wa Gaza

Source Al jazeera news
 
Magaidi ni kupiga huku unayaka chakula yasije yakasingizia kupigwa kwababu yalikuwa na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…