LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu, mkuu, mkuuuu nimekuita mara tatu, amimi amini nakwambia utapoteza muda wako bure kutafuta kuiona mantiki katika matendo yoyote ya wasaka bikra 72. Hayo manyangau HAYANA AKILI HATA punje moja.

Yani kufupisha habari ni kwamba wakishasoma kile kitabu chao kilichoshushwa na "majini wazuri" hugeuka na kua majinga haswa yani full time wao ni ugomvi, shari, vitisho alafu kisha kupanua mabakuli kwa nguvu zote kulaladika.

si hata hapa jf uliona 07 October akina Abdallah na Maimuna walivyoshangilia uvamizi wa miungu yao ya kiarabu Hamas na kuua raia mitaani Israel, ila Israel ilipoanza kujibu walipanua mabakuli na kulalama utadhani hawana akili nzuri.

Miaka fulani nyuma pale UDOM walishaandamana eti wanataka wajengewe msikiti kati kati ya chuo, mkuu hawa jamaa ni wajinga haswa. Walipoulizwa kwani palu kuna kanisa au chuo ni kwaajili ya waislamu tu wakajibu wao wanataka msikiti vinginevyo watachoma moto chuo.

View attachment 2828180

Nimecheka sana...ndio hawa hapa

Video ya kwanza jamaa anafurahia mashambulizi ya rockets huku akiimba alla akbar

Video ya pili, huyo huyo jamaa analia lia kutokana na kichapo wanachopokea kutoka kwa Israel
 
Jamani huyu mtoa mada ni kichaa hayuko sawa anacho ongea ni kama vile Hamasi anaomba msada [emoji1]

Wapi Hamasi kaomba msada kwa Mrusi, Mchina na huyo Elon Musk [emoji1]

Kumwambia aende kuona ujinga wa Israel wakuvunja majumba au mengine ni kosa? Haya Israel kavunja majumba na telecommunications centre Hamasi kashindwa vita? Umeona wanaume wanatoa matekwa pale North Gaza na Israel anadanganya watu kaishika yote North Gaza [emoji1]

Huyo Israel sialitumia njia ya baharini na magari ya freezers kuingiza jeshi Lake na vifaru unadhani vingepita kwenda Al shifaa hospital.

Unambiwa nusu la jeshi lilio kwenye mipaka ya Gaza wamekimbia hawataki kurudi vitani, afu we unaleta story za eti Hamasi anaomba msada kwa Elon Musk hebu we tuambie Hamasi anataka msada upi kwa Elon Musk

Ukiambiwa huna akili unabisha tuambie basi Elon Musk atawapa kitu gani Hamasi [emoji1]

Afu habari zako kutoka Jpost gazeti la Israel kapime akili zako labda kuna fuse hazifunction sawa
Hili neno " Unaambiwa" ndio nimelielewa vzr. Kifupi ni hadithi
 
Jamani huyu mtoa mada ni kichaa hayuko sawa anacho ongea ni kama vile Hamasi anaomba msada 😄

Wapi Hamasi kaomba msada kwa Mrusi, Mchina na huyo Elon Musk 😄

Kumwambia aende kuona ujinga wa Israel wakuvunja majumba au mengine ni kosa? Haya Israel kavunja majumba na telecommunications centre Hamasi kashindwa vita? Umeona wanaume wanatoa matekwa pale North Gaza na Israel anadanganya watu kaishika yote North Gaza 😄

Huyo Israel sialitumia njia ya baharini na magari ya freezers kuingiza jeshi Lake na vifaru unadhani vingepita kwenda Al shifaa hospital.

Unambiwa nusu la jeshi lilio kwenye mipaka ya Gaza wamekimbia hawataki kurudi vitani, afu we unaleta story za eti Hamasi anaomba msada kwa Elon Musk hebu we tuambie Hamasi anataka msada upi kwa Elon Musk

Ukiambiwa huna akili unabisha tuambie basi Elon Musk atawapa kitu gani Hamasi 😄

Afu habari zako kutoka Jpost gazeti la Israel kapime akili zako labda kuna fuse hazifunction sawa
Haya ni maumivu makali aise, ujue mtu ukiumizwa uwa unajikuta unaropoka ovyo pasipo kujitambua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa majitu hutumia ubongo au nini haswa, walitegemea iweje baada ya wao kuchokoza Israel......
Wanalia lia kote, mara waende kwa Mchina, mara Mrusi, mara Elon Musk...
Kwa kifupi suluhu lipo mbona, temaneni na Wayahudi, acheni kuwachokonoa, wale ni makatili na mtakufa sana...

A Hamas senior official invited US billionaire Elon Musk on Tuesday to visit the Palestinian Gaza Strip to see the extent of destruction caused by the Israeli bombardment.

"We invite him to visit Gaza to see the extent of the massacres and destruction committed against the people of Gaza, in compliance with the standards of objectivity and credibility," Hamas' senior official Osama Hamdan said in a press conference in Beirut.
Wanajeshi wa Ukraine wamegoma kupigana, wengine wame sarenda kwa Urusi.
 
View: https://x.com/WarMonitors/status/1729593581931831342?s=20
Hii video imewaumiza sana Isreal na kujiona kuuwa watoto na nyumba haijawa suluhu.
Lkn chakushangaza kwanini imewaumiza wakiristo wa jf wanaoshiriki mijadala humu?
Kwani wao ni mayahudi au chuki dhidi ya waislam kwa mgongo wa Hamas?

Una elimu ya wapi shaheed? Hamas mmelowaaaa, uzuri wafuasi wa muarabu wa huku bongo ni mdomo tu vita hawawezi wanatumia makalio kufikiri tu, Mtanzania mwenzao katekwa, kabakwa, kauwa na mudi wao lkn kutwa ujinga humu😭😭😭😭😭
 
Wakristo wenye akili mbovu wenye kuamini ujinga wa Paulo lazima watakuwa na chuki na Waislam.

Israel hawezi kuingia vita na Hamasi kwa sasa inabidi America akabembeleze Qatar vita visimame wameisha ona Hamasi si mchezo ni moto wakuotea mbali
Adiosamigo nahisi utakuwa na elimu ya madrasa tu aise, kichwani mwako ni ujinga tu
 
Hawa majitu hutumia ubongo au nini haswa, walitegemea iweje baada ya wao kuchokoza Israel......
Wanalia lia kote, mara waende kwa Mchina, mara Mrusi, mara Elon Musk...
Kwa kifupi suluhu lipo mbona, temaneni na Wayahudi, acheni kuwachokonoa, wale ni makatili na mtakufa sana...

A Hamas senior official invited US billionaire Elon Musk on Tuesday to visit the Palestinian Gaza Strip to see the extent of destruction caused by the Israeli bombardment.

"We invite him to visit Gaza to see the extent of the massacres and destruction committed against the people of Gaza, in compliance with the standards of objectivity and credibility," Hamas' senior official Osama Hamdan said in a press conference in Beirut.
Yaani wewe huelewi kuwa Musk anamiliki mitandao mkubwa duniani wa mawasiliano? Wa space X? Na X?
 
Una elimu ya wapi shaheed? Hamas mmelowaaaa, uzuri wafuasi wa muarabu wa huku bongo ni mdomo tu vita hawawezi wanatumia makalio kufikiri tu, Mtanzania mwenzao katekwa, kabakwa, kauwa na mudi wao lkn kutwa ujinga humu😭😭😭😭😭
Matusi ya nini? Kwanza muislam mwenzio ndio priority
 
View: https://x.com/WarMonitors/status/1729593581931831342?s=20
Hii video imewaumiza sana Isreal na kujiona kuuwa watoto na nyumba haijawa suluhu.
Lkn chakushangaza kwanini imewaumiza wakiristo wa jf wanaoshiriki mijadala humu?
Kwani wao ni mayahudi au chuki dhidi ya waislam kwa mgongo wa Hamas?

Mazayuni wamrumia kwa ajili ya hao waliovaa nyeus8 tupu.

Hao ni jeshi maal7m la Wapalestina waliotangazwa zamani kuwa wameuliwa na mazayuni.

Wapalestina waliwaambia wako hai, wacheni kudanganya dunia. Wakacheka. sasa wamewatoa makusudi madhaheed, kuwajulisha kuwa mashaheed hawafi.
 
Hakuna ndugu yangu aliyekufa huko, wale watu vita yao haiishi leo wala kesho. Kufa wataendelea kufa pande zote ila uzushi wako wadanganye wengine. Yaani mtu akitoka leo kwenda kuandika mahali kwamba yeye ni mwanajeshi aliyekimbia vita wewe ndio unakimbilia hapa kusema una habari.
Sema waarabu wataendelea kufa kwa wingi sana kama saiz zaidi 17,000 wamekwisha enda kupokea bikra zao, na zaidi 50,000 ulemavu wa kudumu alafu mnasherekea ushindi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
View: https://x.com/WarMonitors/status/1729593581931831342?s=20
Hii video imewaumiza sana Isreal na kujiona kuuwa watoto na nyumba haijawa suluhu.
Lkn chakushangaza kwanini imewaumiza wakiristo wa jf wanaoshiriki mijadala humu?
Kwani wao ni mayahudi au chuki dhidi ya waislam kwa mgongo wa Hamas?

Hiyo ngoma ya Israel waarabu hawatashinda na kuambulia chochote, kwa njia ya vita hamas atasabanisha Gaza ipotee, wanashangilia huku kuna vifo elfu 14 maana yake kwasa pale Hasa ni majonzi matupu, makazi hawana
 
Wakati Hamas halisi wakilia na kulalama juu ya vita walivyoanzisha wenyewe wakihitaji ceasefire kwa kichapo wanachopokea toka kwa wazayuni, Hamas wa mchongo toka buza wakiwa wamevimbiwa tende na halua huku wakila kashata na kahawa huku wakibehuwa wanataka vita iendelee. Kwa kutumia video toka sources fake zisizo rasmi kuonyesha Israel inapigika.
 
Sema waarabu wataendelea kufa kwa wingi sana kama saiz zaidi 17,000 wamekwisha enda kupokea bikra zao, na zaidi 50,000 ulemavu wa kudumu alafu mnasherekea ushindi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe chuki na tu utajipa ugonjwa wa moyo bure Uislam ndiyo dini inayokuwa kwa kasi duniani sasa hivi kuna Waislam bilioni 2

Kwani wewe bikra yako ulitolewa lini?

Unamkumbuka aliyetoa bikra yako au unamjua alieyetoa bikra ya bi mkubwa wako?
 
Hawa majitu hutumia ubongo au nini haswa, walitegemea iweje baada ya wao kuchokoza Israel......
Wanalia lia kote, mara waende kwa Mchina, mara Mrusi, mara Elon Musk...
Kwa kifupi suluhu lipo mbona, temaneni na Wayahudi, acheni kuwachokonoa, wale ni makatili na mtakufa sana...

A Hamas senior official invited US billionaire Elon Musk on Tuesday to visit the Palestinian Gaza Strip to see the extent of destruction caused by the Israeli bombardment.

"We invite him to visit Gaza to see the extent of the massacres and destruction committed against the people of Gaza, in compliance with the standards of objectivity and credibility," Hamas' senior official Osama Hamdan said in a press conference in Beirut.
Mr uharo😂
 
Back
Top Bottom