Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Kajifunze kwanza kuandika …Wakati Hamas halisi wakilia na kulalama juu ya vita walivyoanzisha wenyewe wakihitaji ceasefire kwa kichapo wanachopokea toka kwa wazayuni, Hamas wa mchongo toka buza wakiwa wamevimbiwa tende na halua huku wakila kashata na kahawa huku wakibehuwa wanataka vita iendelee. Kwa kutumia video toka sources fake zisizo rasmi kuonyesha Israel inapigika.