LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wakati Hamas halisi wakilia na kulalama juu ya vita walivyoanzisha wenyewe wakihitaji ceasefire kwa kichapo wanachopokea toka kwa wazayuni, Hamas wa mchongo toka buza wakiwa wamevimbiwa tende na halua huku wakila kashata na kahawa huku wakibehuwa wanataka vita iendelee. Kwa kutumia video toka sources fake zisizo rasmi kuonyesha Israel inapigika.
Kajifunze kwanza kuandika …
 
Jamani huyu mtoa mada ni kichaa hayuko sawa anacho ongea ni kama vile Hamasi anaomba msada 😄

Wapi Hamasi kaomba msada kwa Mrusi, Mchina na huyo Elon Musk 😄

Kumwambia aende kuona ujinga wa Israel wakuvunja majumba au mengine ni kosa? Haya Israel kavunja majumba na telecommunications centre Hamasi kashindwa vita? Umeona wanaume wanatoa matekwa pale North Gaza na Israel anadanganya watu kaishika yote North Gaza 😄

Huyo Israel sialitumia njia ya baharini na magari ya freezers kuingiza jeshi Lake na vifaru unadhani vingepita kwenda Al shifaa hospital.

Unambiwa nusu la jeshi lilio kwenye mipaka ya Gaza wamekimbia hawataki kurudi vitani, afu we unaleta story za eti Hamasi anaomba msada kwa Elon Musk hebu we tuambie Hamasi anataka msada upi kwa Elon Musk

Ukiambiwa huna akili unabisha tuambie basi Elon Musk atawapa kitu gani Hamasi 😄

Afu habari zako kutoka Jpost gazeti la Israel kapime akili zako labda kuna fuse hazifunction sawa
Elon Musk ni nani akaone? Israel imepata mateka au bado?
 
Wanajeshi wa Ukraine wamegoma kupigana, wengine wame sarenda kwa Urusi.

Hakuna mwaka umewakalia vibaya maustadhi kama huu wa 2023, mlishabikia Urusi ikaangukia pua, halafu mazombi yenu ya HAMAS yamesababisha muuawe kama senene.
 
Yaani wewe huelewi kuwa Musk anamiliki mitandao mkubwa duniani wa mawasiliano? Wa space X? Na X?

Kwa hiyo mtandao wake utasaidia hao mazombi yenu kivipi, hivi huko madras mnaenda kusomea ujinga?
 
Sema waarabu wataendelea kufa kwa wingi sana kama saiz zaidi 17,000 wamekwisha enda kupokea bikra zao, na zaidi 50,000 ulemavu wa kudumu alafu mnasherekea ushindi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani ushindi si kila mtu ana tafsiri yake. Unachoona ushindi kwako kwa mwingine ni kushindwa. Sera ya israel kuhusu magaidi ni kuwa hawana mjadala la magaidi. Ila kwa hamas wanaowaita magaidi wamekubali kukaa kwenye majadiliano. Wale mateka ndio ilikua karata pekee ya hamas kuwaita israel mezani na israel wametii. Huo ni ushindi kwa hamas. Nirudie kukukumbusha kuwa kwa hamas watu wao kufa sio kushindwa ni ushindi.
 
Hao hawatarudi Tena Gaza, Guerilla war ni hatari na ni vita mbaya!

Waisraeli weusi wa Gongolamboto kazi yao kupiga kelele humu kumbe jamaa zao wamekiona Cha moto.
Hiyo vita ni ngumu sana ukijiingiza huko una nafasi ndogo ya kutoka salama ila Wanamgambo wa Israel toka Kwa mtoto hawawezi elewa
 
hehehe jamaa bado unateseka na hizi insha zako, si huwa mnatukana kafir kwa yeyote asiyeabudu huyo muarabu, sasa mnamfuata Elon Must awasaidie kwenye lipi...temaneni na Myahudi la sivyo mtakua mnakufa bure, mfahamu kuwa Mungu wake ana nguvu kuliko huyo wa kwenu aliyekimbia hawasaidii kitu....
Hebu weka wapi Palestine wameomba msada wake mbona damu ya kiyahudi orignal hatuna matatizo nao, matatizo yetu na hao wanao jita wayahudi walitokea Ukraine wakasamba Europe yote wajukuu wa Cain wafuasi wa paulo


Ama orignal Jews hawa hapo tunaishi nao kwa amani kwenye nchi za kiarabu hao ni wajukuu wa Ibrahim sio kina Paulo wajukuu wa Cain 😆



View: https://youtube.com/shorts/IskytlqS_NE?si=nfE1TW3E3viJ0h-5
 
Adiosamigo nahisi utakuwa na elimu ya madrasa tu aise, kichwani mwako ni ujinga tu
Madrasa ni bora kuliko wewe umenda someshwa ujinga tu, nyie si ndio wale mlichimba shimo pale shifa hospital afu mkasema central command, afu mkakiri nyie mlichimba hilo shimo

Kusoma sana nako niujinga tu, bora mimi nilisomea madrasa siongei utumbo na uwongo na ujinga kama wenu 😄
 
Hebu weka wapi Palestine wameomba msada wake mbona damu ya kiyahudi orignal hatuna matatizo nao, matatizo yetu na hao wanao jita wayahudi walitokea Ukraine wakasamba Europe yote wajukuu wa Cain wafuasi wa paulo


Ama orignal Jews hawa hapo tunaishi nao kwa amani kwenye nchi za kiarabu hao ni wajukuu wa Ibrahim sio kina Paulo wajukuu wa Cain 😆



View: https://youtube.com/shorts/IskytlqS_NE?si=nfE1TW3E3viJ0h-5


Mpalestina kwa sasa hana hata nguvu za kuomba msaada, amepigwa akapigika, kuuawa kwa watu 15,000 ndani ya muda mfupi na kubomolewa majengo 56,000 ni balaa sana, wanaomba msaada ni mazomni wa dini yenu waarabu, juzi wameenda Urusi ikabuma, wakaenda Uchina ikabuma, hapa naona mazombi yenu yameomba Elon Musk aje asaidie, mpo useless sana, mnaanzisha ila mnaishia kulia lia.
 
Huu mwaka mumeliwa hadi raha, akili imewaingia, Iran kasanda na kakalishwa ambaye mlimtegemea siku zote, mumeandamana kote mkiita akba alla, ila huyo akbar wenu kawakimbia, yaani...... Mjifunze, Myahudi sio wa kupelekea shobo zenu hizo.
Uzuri JF nyuzi zinaishi, ngoja zitoke ripoti za mabwana zenu mayahudi mtakuja kuzisoma.
 
ZAKA Tel Aviv, the Israeli emergency response unit, has recommended burying the cars of those who were killed during the surprise Hamas operation in southern Israeli-occupied Palestine on October 7, according to Israeli daily Jerusalem Post.

Dismembering and burying cars threatens to eliminate strong evidence that may confirm the results of an Israeli investigation proving that an Israeli army Apache helicopter was the one that killed dozens of revelers at the Nova Music Festival on October 7.
😂
 
Uzuri JF nyuzi zinaishi, ngoja zitoke ripoti za mabwana zenu mayahudi mtakuja kuzisoma.

Unapaswa mpaka sasa uwe unaomboleza mabwana zako kushikishwa ukuta na kuuawa kwa maelfu.
 
Back
Top Bottom