LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wanaukumbi.

Katika hali isiyo ya kawaida Mateka wa kike ambayo walikuwa wanashikiliwa huko Gaza wameonyesha mapenzi makubwa kutoka kwa Hamas kwa jinsi walivyokuwa wanaishi nao wakati wametekwa.

Kuna wengine walikuwa wanataka kubakia Gaza sema kutokana na serikali ya Israel imebidi warudi Israel. Kuna mwanamke mmoja yeye alitekwa pamoja na mbwa wake wote walikuwa wanapewa chakula na maradhi mengine.

Serikali ya Israel wamejiribu kuwalisha propaganda mateka waongee uongo wamekataa walichofanya wamewakataza wasiongee na vyombo vya habari, angalia video hiyo wanawaga kwa kuwapungia mikono Hamas huku wakiwa na furaha.

===============

BREAKING: ISRAELI HOSTAGES WAVING, SMILING AND SHOWING POSITIVE EMOTIONS TOWARDS HAMAS

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1730016453984727418?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Attachments

  • twidown.mp4
    2.1 MB
  • twidown.mp4
    2.6 MB
Kichwa Cha habari Cha thread yako mbona kinatofautiana na hiyo tweet 🤣🤣

Au mapenzi upofu
Sijawahi kuona kitu kama hiki katika historia. Ndiyo maana najua hii si "Stockholm syndrome"... kwa sababu kama ingekuwa hivyo, tungekuwa na mifano mingi kama hii. Lakini hakuna mahali ambapo mateka walioachiliwa wanakumbatiana, kupunga mkono na kuwatakia mema watekaji wao. Kweli ajabu.
 
Ngoja wakute familia nzima waliyoiacha ilifyekwa na hamas ndo watajuta kuwajua hao magaidi.
Mtu anakuteka baada kombora lake kukukosa kukuuwa unawezaje kubwa na furaha nae
Hao Hamas walikuwa wanawatunza vizuri hao mateka kwasababu ni mtaji wao muisrael mmoja sawasawa na wapalestina watatu kwanini usimtunze

Mwanamke mmoja muisrael sawasawa na magaidi watatu wa hamas waliopo gerezani Israel.
 
Propaganda za vita tu hizo mzee...

Hakuna mtu anayependa kuchukuliwa mateka
 
Wanaukumbi.
Katika hali isiyo ya kawaida Mateka wa kike ambayo walikuwa wanashikiliwa huko Gaza wameonyesha mapenzi makubwa kutoka kwa Hamas kwa jinsi walivyokuwa wanaishi nao wakati wametekwa.

Kuna wengine walikuwa wanataka kubakia Gaza sema kutokana na serikali ya Israel imebidi warudi Israel. Kuna mwanamke mmoja yeye alitekwa pamoja na mbwa wake wote walikuwa wanapewa chakula na maradhi mengine. Serikali ya Israel wamejiribu kuwalisha propaganda mateka waongee uongo wamekataa walichofanya wamewakataza wasiongee na vyombo vya habari, angalia video hiyo wanawaga kwa kuwapungia mikono Hamas huku wakiwa na furaha.
===============
BREAKING: ISRAELI HOSTAGES WAVING, SMILING AND SHOWING POSITIVE EMOTIONS TOWARDS HAMAS

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1730016453984727418?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unamkumbuka yule dada Muitaliano alitekwa Somalia alipookolewa na Kuslim akaslim anavaa hijab. Sasa raia wakakasirika huko kwanini amefuata dini ya waliomteka. Mpaka leo yule mzungu anavaa hijab anakwambia anafurahia maisha kuliko alivyokuwa anadhani kukaa uchi ndio freedom
 
Mtu anakuteka baada kombora lake kukukosa kukuuwa unawezaje kubwa na furaha nae
Hao Hamas walikuwa wanawatunza vizuri hao mateka kwasababu ni mtaji wao muisrael mmoja sawasawa na wapalestina watatu kwanini usimtunze

Mwanamke mmoja muisrael sawasawa na magaidi watatu wa hamas waliopo gerezani Israel.
Umeandika kitu chenye kutafakarisha sana.Lakini,watakwepa hili kwenye uzi huu.
 
Ingekuwa ni mfungwa mwanamama wa kipalestina amefanya hivyo kwa askari wa israel wakati anaachiwa kurejea kwao Palestina angeenda kukatwa kichwa huko Gaza!.
Funzo, waarab sio wastaarab...ni wanafki wakubwa.
 
" chakula na maradhi" badili hapo fasta mkuu kabla watani zako katika imani " wagalatia" hawajaja kukupopoa.
 
Ingekuwa ni mfungwa mwanamama wa kipalestina amefanya hivyo kwa askari wa israel wakati anaachiwa kurejea kwao Palestina angeenda kukatwa kichwa huko Gaza!.
Funzo, waarab sio wastaarab...ni wanafki wakubwa.
Angechinjwa kwa kutumia jambia na ndugu zake sawasawa na quran tukutu inavyosema katika aya zake.
 
Ingekuwa ni mfungwa mwanamama wa kipalestina amefanya hivyo kwa askari wa israel wakati anaachiwa kurejea kwao Palestina angeenda kukatwa kichwa huko Gaza!.
Funzo, waarab sio wastaarab...ni wanafki wakubwa.
Haiwezi kutokea unaongea fikra zako kila siku tunaona unyama wanaofanyiwa hapa wanatakiwa kujifunza kwa Hamas.
 
Back
Top Bottom