LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.

Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?
Ha ha ha sponsa atasimamia shoo bila shaka ha ha ha
 
Wavaa Makobanga mnashida sana!

TAKBIIIR!
Screenshot_20231202-093340.jpg

Ww sema wavaa kobaz tu wenzako hao hapo napo wanabuluzwa km wezi
 
ENDELEENI KUJIDANGANYA
Israeli imeamua kufunga bandari yake baada ya Yemen kuzipiga spana za Wazayuni

[emoji298]️Israeli newspaper Globes:

Israel considers closing Eilat port due to less activity because of Houthi threats

Eilat is the third most important port for Israel
 
Kwa mujibu wa Wizara ya ulinzi ya Iarael, wanajeshi wake wapatao 403 wameuawa kwenye mapigano dhidi ya Hamas tangu Ocyober 7. Nauliza kwa mara nyingine, hawa ndio Security genius wa Ulimwengu? Ikumbukwe kuwa wanapigana na wanamgambo tu
 
Sawa, tusisahau kuwaangalia ndugu zetu wa damu kabisa wa Manyara
 
Kwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.
Madhira ❌
Madhila ✅

Jifunze kwanza kuandika wewe bibi.
 
Mkuu upo wapi?
Gaza kaskazini ipo chini ya umiliki kamili wa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa, no entry or exit without permission of IDF.
Kituo kinachofuata kwenda kudhibitiwa na Israel ni Gaza Kusini.
Yaache yaendelee kujifariji hapa wakati jeshi la Israel linaendelea kukamata maeneo ya Gaza Moja baada ya jingine 🤣🤣🤣
 
Kwa mujibu wa Wizara ya ulinzi ya Iarael, wanajeshi wake wapatao 403 wameuawa kwenye mapigano dhidi ya Hamas tangu Ocyober 7. Nauliza kwa mara nyingine, hawa ndio Security genius wa Ulimwengu? Ikumbukwe kuwa wanapigana na wanamgambo tu
Kivyovyote vile kufa kupo hakuna cha jeshi bora wala nini kufa lazima pande zote zife, unakumbuka lile sakata la polisi na masai ngorongoro kuna polisi alikufa kwa mshale tu.
 
Hakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.

Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?
Hayo maswali umeyajibu au tumuwekee Netanyahu kwenye sanduku la maoni?
 
Hivi unajua kwamba Israel inadhibiti taarifa kwenye battle ground?
Sababu ya kuficha ni kuogopa lawama za duniani tu ndo mana wanafagia kimyakimya.
Hao Hamas ndo kutwa wako mitandaoni ili waonewe huruma na kuonekana wako fair.
Wanabondwa sana huko na haisemwi popote.
 
Back
Top Bottom