Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Ha ha ha sponsa atasimamia shoo bila shaka ha ha haHakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.
Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?