Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Ha ha ha sponsa atasimamia shoo bila shaka ha ha haHakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.
Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?
Wavaa pempaz wamekula buyu km nyauWavaa Makobanga mnashida sana!
TAKBIIIR!
Wavaa Makobanga mnashida sana!
TAKBIIIR!
Israeli imeamua kufunga bandari yake baada ya Yemen kuzipiga spana za WazayuniENDELEENI KUJIDANGANYA
Hawa hapa wanaendesha vigari kuelekea Gaza na pempas zaoWavaa pempaz wamekula buyu km nyau
Inamaana mateka wake waliotekwa bado tu hajawaona na akawakomboaIsrael imesha chukua karibu ya nusu ya gaza.. sijui unaongea upumbafu gani hapa
Ni dalili mbaya kwao,badala ya kushambulia unajilinda.Israel considers closing Eilat port
Yesu mvaaji makobanga namba mojaWavaa Makobanga mnashida sana!
TAKBIIIR!
Joined October 13ENDELEENI KUJIDANGANYA
Nusu ya Gaza π akichukua 5% atakuwa mwanaume, we kaa ukiota kwani ndoto si za bure tu πIsrael imesha chukua karibu ya nusu ya gaza.. sijui unaongea upumbafu gani hapa
Vipi kuhusu mtaani kwenu chuki haijakuwa?Hii chuki inakuwa kwa kasi hasa poland uingereza na india
View attachment 2832943
Madhira βKwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.
Yaache yaendelee kujifariji hapa wakati jeshi la Israel linaendelea kukamata maeneo ya Gaza Moja baada ya jingine π€£π€£π€£Mkuu upo wapi?
Gaza kaskazini ipo chini ya umiliki kamili wa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa, no entry or exit without permission of IDF.
Kituo kinachofuata kwenda kudhibitiwa na Israel ni Gaza Kusini.
Kivyovyote vile kufa kupo hakuna cha jeshi bora wala nini kufa lazima pande zote zife, unakumbuka lile sakata la polisi na masai ngorongoro kuna polisi alikufa kwa mshale tu.Kwa mujibu wa Wizara ya ulinzi ya Iarael, wanajeshi wake wapatao 403 wameuawa kwenye mapigano dhidi ya Hamas tangu Ocyober 7. Nauliza kwa mara nyingine, hawa ndio Security genius wa Ulimwengu? Ikumbukwe kuwa wanapigana na wanamgambo tu
Hayo maswali umeyajibu au tumuwekee Netanyahu kwenye sanduku la maoni?Hakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.
Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?
Sababu ya kuficha ni kuogopa lawama za duniani tu ndo mana wanafagia kimyakimya.Hivi unajua kwamba Israel inadhibiti taarifa kwenye battle ground?