LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wanawake na watoto leo hawajafa huko?
 
Mkiristo yoyote akifa akiwa mkiristo ataunguzwa sana ktk moto na ataomba arudishwe duniani ili aingie ktk uislam
Uliwah kutana na mtu aliyekufa akiwa mkristo akakwambia anatamani arudi duniani alaf asilim!!???


Akili maaandazi hizi🚮🚮🚮
 
sipati picha huko kwenye mahandaki watakapoona maji yanazidi kujaa, kama hawatatoka. na wakitoka tu, juu kuna IDF wamesubiri na mtutu wa bunduki.
 
Kilichomponza Count Bernadotte mwana wa ukoo wa kifalme wa Denmark na rais wa Red cross ya Denmark ni kupendekeza kwamba Jerusalem wapewe Wapalestina.Hii ikamjengea chuki Kali Kwa wayahudi ,wakasahau alivyojitoa muhanga kuwaokoa kwenye makambi ya NAZI.Wakammaliza mjini Jerusalem.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wale wote ambao hawakuwa wayahudi na waliishi enzi za agano la kale hawakuwa watu wa MUNGU na wala Mungu hakuwa na haja nao? Kama jibu ni ndiyo,je wako wapi sasa?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Maamuz ya kukata tamaa
 
Afadhal Braza Muddy kawapelekea moto wa kike tu lkn hawa wafuga kondoo wenyew wanabomoa wa kiume tu tena kinomanoma na baba mkubwa wao anaishia kuomba msamaha tu
 
Mpaka sasa idadi ya mujahidden walioelekezwa jongomeo kwenye bikira 72 kila moja inazidi elfu 16.Angalau wakifika laki 3 kwenda kufaidi bikira ndio kuwe na ceasefire 😂
 
Akili ya Asili na Nguvu ya Asili havijawahi Kushindwa

Vita ya Gaza itakuwa ndefu sana kama alivyotabiri Netanyahu

Samahani kwa wale mliokwazika!
 
Ufala wa waislamu huwa unaanzia hapa na nguvu zao asili yaani ww wenzio wanakufa unategemea allah akbar ....israel inatakiwa ipigiwe kisayansi ili waache uonezi next time Palestine wajipanga kisayansi washirikiane na nchi zilizoendelea kisayansi wapate silaa nzito ili uonezi wa ki israele ukome na uwe mwisho ....ila kutegeme story za vijiweni za misikitin wateendelea tu kupigwa....sipendi waisrael ila sipendegi ujinga wa waislamu kwenye vitu vya msingi hasa elimu
 
Wanajeshi wa Israel wameizunguka Nyumba ya Kiongozi wa Hamas mh Yahya Sinwar

Netanyahu amesema hata kama Sinwar hayuko kwenye makazi yake ni swala la muda tu Watamtia mbaroni

Source Al jazeera news
 
... wamtie mbaroni wa kazi gani; anatakiwa kuuawa haraka sana huyo. Jitu lisilo na faida yoyote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…