LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
GAn6I6yXcAAubMk.jpeg


Vita iendelee Hamas wanapiga sana
 
Hayo mahandaki Israel ikipenda imwagie tu hayo maji ya bahari.Kama walivyokosa mtu kule hospitali ya Shifa na humo kwenye mahandaki hawatampata mtu yeyote.
Hamas wana akili sana ya vita na walijitayarisha vya kutosha kwa hali zote.
Tunalaumu wale ambao hawatumii fursa vizuri walizonazo lakini hakuna lawama kwa Hamas.Waendelee na kuthibitika katika mapigano.Wakiweza kuvikokota kwa mwezi mmoja mbele tutarajie vitu vilivyokuwa havikutarajiwa.
Wanawake na watoto leo hawajafa huko?
 
Mkiristo yoyote akifa akiwa mkiristo ataunguzwa sana ktk moto na ataomba arudishwe duniani ili aingie ktk uislam
Uliwah kutana na mtu aliyekufa akiwa mkristo akakwambia anatamani arudi duniani alaf asilim!!???


Akili maaandazi hizi🚮🚮🚮
 
sipati picha huko kwenye mahandaki watakapoona maji yanazidi kujaa, kama hawatatoka. na wakitoka tu, juu kuna IDF wamesubiri na mtutu wa bunduki.
 
Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.

Isitoshe hata viongozi wa Israel hawakuutaka, walikuwa na agenda ya kujitanua (Zionism).

Ndio maana magaidi wa Kiyahudi (Lehi) chini ya Yithzak Shamir (waziri mkuu wa Israel miaka ya 1980 mwishoni) walimuua Folke Bernadotte - Wikipedia mpatanishi wa kwanza wa UN wa mzozo huu kupinga huo mpango.

Kilichomponza Count Bernadotte mwana wa ukoo wa kifalme wa Denmark na rais wa Red cross ya Denmark ni kupendekeza kwamba Jerusalem wapewe Wapalestina.Hii ikamjengea chuki Kali Kwa wayahudi ,wakasahau alivyojitoa muhanga kuwaokoa kwenye makambi ya NAZI.Wakammaliza mjini Jerusalem.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hii hoja huwa sielewi? Hamas haipo West Bank je kuna amani? Mbona kila siku wapalestina wanapigwa risasi na kuporwa makazi? Hii hoja kuwa Hamas ndio inaharibu amani inatoka wapi!! Nachojua siku Hamas ikifutwa basi Israel itafanya inachofanya kule Westbank kuongeza makazi ya walowezi kwa kupora ardhi ndogo iliyosalia Gaza!!

Wakiwemo hao wayahudi ambao wamemkataa kumkiri!! Na wao wasipotubu moto wa kuzimu unawahusu. Na kingine Mungu ni wa wote sio wa Israel hiyo ilikua ni specifically agano la kale, ila agano Jipya hakuna tena cha Israel ni kila mtu ana equal chance mbele ya Mungu hakuna favor wala uspecial wa taifa moja.
Kwa hiyo wale wote ambao hawakuwa wayahudi na waliishi enzi za agano la kale hawakuwa watu wa MUNGU na wala Mungu hakuwa na haja nao? Kama jibu ni ndiyo,je wako wapi sasa?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wall Street Journal - Israel Weighs Plan to Flood Gaza Tunnels With Seawater:

Israel has assembled a system of large pumps it may use to flood Hamas’s vast network of tunnels under the Gaza Strip with seawater, a tactic that could destroy the tunnels and drive the fighters from their underground refuge but also threaten Gaza’s water supply, U.S. officials said.

The Israel Defense Forces finished assembling large seawater pumps roughly one mile north of the Al-Shati refugee camp around the middle of last month. Each of at least five pumps can draw water from the Mediterranean Sea and move thousands of cubic meters of water per hour into the tunnels, flooding them within weeks.

[emoji390] Shareable links to get alerts from Jewish Breaking News. Share with family & friends:

TELEGRAM
[emoji821] Jewish Breaking News - Telegram

WHATSAPP [emoji821] 15 Jewish Breaking News
Maamuz ya kukata tamaa
 
Kwa watu wa lidini la mudi hiyo kawaida yao sanaaaaaaa si unajua wa mabikira 70 na mito ya pombe yaaan muda mwingi huwaza ngono na uchafu mwingine mwingi tu.
Kwa kifupi hawa ni wa shetani na ndiyo maana chanzo cha uzao wao ni shetani na thats why Mungu aliwanyima urithi wa ardhi.
Kama mtume Mudi alikikula kitoto cha miaka 9, alilelewa na lishangazi la miaka 45 yaan alikuwa marioo unategemea matendo ya namna gani kwa wafuasi wake?
Afadhal Braza Muddy kawapelekea moto wa kike tu lkn hawa wafuga kondoo wenyew wanabomoa wa kiume tu tena kinomanoma na baba mkubwa wao anaishia kuomba msamaha tu
 
Mpaka sasa idadi ya mujahidden walioelekezwa jongomeo kwenye bikira 72 kila moja inazidi elfu 16.Angalau wakifika laki 3 kwenda kufaidi bikira ndio kuwe na ceasefire 😂
 
Akili ya Asili na Nguvu ya Asili havijawahi Kushindwa

Vita ya Gaza itakuwa ndefu sana kama alivyotabiri Netanyahu

Samahani kwa wale mliokwazika!
 
Ufala wa waislamu huwa unaanzia hapa na nguvu zao asili yaani ww wenzio wanakufa unategemea allah akbar ....israel inatakiwa ipigiwe kisayansi ili waache uonezi next time Palestine wajipanga kisayansi washirikiane na nchi zilizoendelea kisayansi wapate silaa nzito ili uonezi wa ki israele ukome na uwe mwisho ....ila kutegeme story za vijiweni za misikitin wateendelea tu kupigwa....sipendi waisrael ila sipendegi ujinga wa waislamu kwenye vitu vya msingi hasa elimu
 
Wanajeshi wa Israel wameizunguka Nyumba ya Kiongozi wa Hamas mh Yahya Sinwar

Netanyahu amesema hata kama Sinwar hayuko kwenye makazi yake ni swala la muda tu Watamtia mbaroni

Source Al jazeera news
 
... wamtie mbaroni wa kazi gani; anatakiwa kuuawa haraka sana huyo. Jitu lisilo na faida yoyote duniani.
 
Back
Top Bottom