LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mpaka sasa nusu ya Makamanda wa Magaidi wa Hamas wameshapelekwa jongomeo.Huyu Sanwar kaachiwa msala mwenzake Ismail Haniya yupo Qatar anakula bata
 
NETANYAHU: HIS HOUSE MAY NOT BE HIS FORTRESS, BUT IT'S ONLY MATTER OF TIME BEFORE WE GETπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpaka sasa nusu ya Makamanda wa Magaidi wa Hamas wameshapelekwa jongomeo.Huyu Sanwar kaachiwa msala mwenzake Ismail Haniya yupo Qatar anakula bata
Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.
 
Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.
Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?
 
Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.
Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?
 
Wanajeshi wa Israel wameizunguka Nyumba ya Kiongozi wa Hamas mh Yahya Sinwar

Netanyahu amesema hata kama Sinwar hayuko kwenye makazi yake ni swala la muda tu Watamtia mbaroni

Source Al jazeera news
Halafu wewe kumbe muongo sana. Nilikuwa nakuamini sana lkn kumbe umo humu kwa ajili ya propaganda wa mayahudi. Kila siku unaweka source aljazeera news kumbe sio kweli. Halafu unajisikiaje kuwa mpiga tarumbeta wa wauaji?
 
Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?
Yaani wewe punguanua kweli Ahmed Yassin, alishazeeka alikuwa mwenye ulemavu wa miguu ambaye alikuwa kipofu, alikuwa akitegemea kiti cha magurudumu, bado unajisifia naa baada ya kumuua Hamas ilikufa.

Hamas ni ideology.

Elon Musk: β€œIf you kill someones child in Gaza, you have made a few new Hamas members”

Hamas siyo mtu…
 
Video imesambaa huko Twitter ikiwaonesha wanajeshi wa Israel wakiwavua nguo wapiganaji wa HAMAS waliotekwa huku wakiteswa uchi wa mnyama.
Video hiyo inaonesha wapiganaji hao waliokuwa uchi wa mnyama wakiwa wamefungwa miguu na mikono huku wakikanyagwa na wanajeshi wa Israel
Your browser is not able to display this video.
 
Hahahahaa hiyo video ya muda sana hapo ni West Bank video hiyo inaonyesha Wazayuni wanavyawatesa raia wa Palestina mpaka bwana wenu Marekani kasema anawanyima viza hawa wanaofaanya huu ushenzi.

Eti HamasπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nawakubali sana kwa kubadili gia angani
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸšΆπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™πŸ€πŸ€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£β™₯οΈπŸ™†β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
 
Mungu Mkubwa ILA BADO SIJARIDHIKA KABISA ISRAEL WANACHOKIFANYA HAPO.

NILITARAJIA WASIWE NA VIUNGO .

KUMBE MIKONO NA MIGUU WANAYO😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…