Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.Mpaka sasa nusu ya Makamanda wa Magaidi wa Hamas wameshapelekwa jongomeo.Huyu Sanwar kaachiwa msala mwenzake Ismail Haniya yupo Qatar anakula bata
Umejaa chuki mpaka matakoni.... wamtie mbaroni wa kazi gani; anatakiwa kuuawa haraka sana huyo. Jitu lisilo na faida yoyote duniani.
Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.
Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?Huwafahamu Hamas Rais wa Uturuki kawambia Israel leo Uturuki na Qatar kuna viongozi wa Hamas akiwawa yeyote na sisi mnatujua vizuri jaribuni muone.
Huyo anatakiwa Kila siku analiwa mtungo.... wamtie mbaroni wa kazi gani; anatakiwa kuuawa haraka sana huyo. Jitu lisilo na faida yoyote duniani.
Halafu wewe kumbe muongo sana. Nilikuwa nakuamini sana lkn kumbe umo humu kwa ajili ya propaganda wa mayahudi. Kila siku unaweka source aljazeera news kumbe sio kweli. Halafu unajisikiaje kuwa mpiga tarumbeta wa wauaji?Wanajeshi wa Israel wameizunguka Nyumba ya Kiongozi wa Hamas mh Yahya Sinwar
Netanyahu amesema hata kama Sinwar hayuko kwenye makazi yake ni swala la muda tu Watamtia mbaroni
Source Al jazeera news
Ni kama unaweweseka😃Halafu wewe kumbe muongo sana. Nilikuwa nakuamini sana lkn kumbe umo humu kwa ajili ya propaganda wa mayahudi. Kila siku unaweka source aljazeera news kumbe sio kweli. Halafu unajisikiaje kuwa mpiga tarumbeta wa wauaji?
View attachment 2835270
Nani jamaa kumbe propagandist wa mayahudi. DahNi kama unaweweseka😃
Yaani wewe punguanua kweli Ahmed Yassin, alishazeeka alikuwa mwenye ulemavu wa miguu ambaye alikuwa kipofu, alikuwa akitegemea kiti cha magurudumu, bado unajisifia naa baada ya kumuua Hamas ilikufa.Aliuwawa muasisi wa Hamas Sheikh Yasin sembuse huyu?
Nawakubali sana kwa kubadili gia anganiHahahahaa hiyo video ya muda sana hapo ni West Bank video hiyo inaonyesha Wazayuni wanavyawatesa raia wa Palestina mpaka bwana wenu Marekani kasema anawanyima viza hawa wanaofaanya huu ushenzi.
Eti Hamas😂😂😂😂
🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🚶👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🤝🤝🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣♥️🙆♥️♥️♥️♥️♥️♥️✍️✍️✍️✍️✍️✍️Video imesambaa huko Twitter ikiwaonesha wanajeshi wa Israel wakiwavua nguo wapiganaji wa HAMAS waliotekwa huku wakiteswa uchi wa mnyama.
Video hiyo inaonesha wapiganaji hao waliokuwa uchi wa mnyama wakiwa wamefungwa miguu na mikono huku wakikanyagwa na wanajeshi wa IsraelView attachment 2835665
Mungu Mkubwa ILA BADO SIJARIDHIKA KABISA ISRAEL WANACHOKIFANYA HAPO.Video imesambaa huko Twitter ikiwaonesha wanajeshi wa Israel wakiwavua nguo wapiganaji wa HAMAS waliotekwa huku wakiteswa uchi wa mnyama.
Video hiyo inaonesha wapiganaji hao waliokuwa uchi wa mnyama wakiwa wamefungwa miguu na mikono huku wakikanyagwa na wanajeshi wa IsraelView attachment 2835665