LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hao ni raia wewe.

Udhalilishaji huo utalipwa tu.

Hayajaanza leo hayo, ni marudio tu.
 
Israeli wanafanya hivyo ili kuchukua tahadhari wasiwe wamevaa suicide belts au kuficha silaha zingine.Pia hao ni magaidi sidhani kama Geneva conventional inahusika kwa magaidi.Sio mateka wa kivita hao!
 
Hizo ni hasira kwa raia kwa sababu hii:

 
Ukiangalia al jazeera kwa nusu saa yanayojiri huko Gaza, mtu mwenye akili timamu hawezi kishabikia.
Watoto wanakufa kama vifaranga vya broiler...yaani lazima huruma ikujie...
Tuache kushabikia haya mambo yanaweza kutuachia laana
Kwani oktoba Saba Kule Israel uliangalia au hukuangalia?

Raia wa KIPALESTINA walishangilia au hawakushangilia?

Kama walishangilia oktoba 7 huko Israel Kwanini na sisi na raia wa Irael wasishangilie?
 
Tutaaminije hao ni Hamas? Tungeamini kama tungewaona kabla ya kuvuliwa nguo. Na mbona wengine wanavitambi?

Hapo propaganda inapikwa kwa wananchi wao ili waonekane wamefanikiwa ktk operation yao
 

Kwani si hata kila anayeuwawa wakiwamo watoto njiti ni Hamas?
 
Cinema ya kihindi😂
Uharo mtupu.
Baada ya kubuma kama Shifa Hospital mabasha zako wakajana na hili tamko.

🚨 BREAKING: IDF ADMITS TODAY'S MASS ARRESTS ARE NOT NECESSARILY HAMAS

In a statement, the IDF spokesman states that the IDF arrested Palestinians who may not be part of Hamas, as they were in Hamas hotspots.

The detainees will be interrogated to investigate who is and isn't linked to Hamas.

Full Statement by IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari:

"Jabaliya and Shejaiya are 'centers of gravity'... for terrorists, and we are fighting them. They are hiding underground and come out and we fight them.

Whoever is left in those areas, they come out from tunnel shafts, and some from buildings, and we investigate who is linked to Hamas, and who isn't.

We arrest them all and interrogate them."

Source: Times of Israel
———
🚨 BREAKING: IDF YAKUBALI KUKAMATWA KWA MISA LEO SI LAZIMA HAMAS

Katika taarifa yake, msemaji wa IDF anasema kuwa IDF iliwakamata Wapalestina ambao huenda si sehemu ya Hamas, kwa vile walikuwa katika maeneo yenye Hamas.

Wafungwa hao watahojiwa ili kuchunguza ni nani anahusishwa na asiyehusika na Hamas.

Taarifa Kamili na Msemaji wa IDF Daniel Hagari:

“Jabaliya na Shejaiya ni ‘centers of gravity’... kwa magaidi, na tunapambana nao wanajificha chini ya ardhi na wanatoka na tunapambana nao.

Yeyote anayeachwa katika maeneo hayo, wanatoka kwenye shimo la handaki, na wengine kutoka kwa majengo, na tunachunguza ni nani anayehusishwa na Hamas, na ni nani asiyeunganishwa.

Tunawakamata wote na kuwahoji."

Chanzo: Times of Israel
 

Hii ni habari mbaya mno Kwa hIzi mbuzi: MK254
 
Israeli ana hali mbaya sana kwenye hii vita. Unapigana na mtu ana kikombe cha kahawa mkononi mkono mwingine kashikilia ATMGs si masikharaa ujue.
 
Israeli ana hali mbaya sana kwenye hii vita. Unapigana na mtu ana kikombe cha kahawa mkononi mkono mwingine kashikilia ATMGs si masikharaa ujue.
Israel has released images claiming that they have apprehended many Hamas fighters.

Due to Israel’s bankrupt track record when it comes to telling the truth, we have to do our own due diligence:

First question: why were they all wearing slippers?😂
 
Hao ni raia wewe.

Udhalilishaji huo utalipwa tu.

Hayajaanza leo hayo, ni marudio tu.
Watalipwa na nani?Auaye kwa upanga atauwawa kwa upanga.Nimependa Israel wanavyotoa darsa kwa ulimwengu kuhusu namna bora zaidi ya kukabiliana na magaidi
 
Hao ndo mayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…