LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Magaidi hayajui consequences ya matendo yao! Huwa hawajiulizi! Okay! Tukishafanya shambulizi la kigaidi nini madhara upande wetu? Wanajifariji kuwa wakifa wanaenda ahera na kupewa mabinti mabikra!
Haya mambo inategemea unayaangalia katika angle gani mkuu.
Mtazamo wa kimagharibi ni kwamba hawa ni magaidi. Lakini wenyewe na wanaowaunga mkono wanaona ni mashujaa.
Jiulize vita vya majimaji vilileta faida gani? Mbona walioanzisha kina Kinjekitile tunafundishwa kwamba ni mashujaa?
 
Niliona video moja muyahudi wa IDF analia machozi yamechanganyika na makamasi anataka kurudi nyumbani eti hamuoni anaepigana nae ila anaona wenzake wanakufa tu. Nikasema hawa wamevamia mtumbwi wa vibwengo.
 
Hamas kamatieni hapo hapo magaidi ya kizayuni yashaanza kuchanganyikiwa
 
Wayahudi hawaamini Moto wala kuzimu, so watampiga Hamas Kama mbwa koko.
Moto waba9elekeqa hapahapa na Wapalestuna.

Hamas ni kijikundi kidogo tu.

Hujawaskia Hizbollah huko moto wanaopeleka Tel Aviv?
 
Hao ni raia wewe.

Udhalilishaji huo utalipwa tu.

Hayajaanza leo hayo, ni marudio tu.
Inasikitisha sana tulitarajia mtu aliyelelewa kwa mateso na manyanyaso ndo angekuwa na huruma lakini inakuwa kinyume chake.
 
Israel inapigana kwa ajili ya Amani ya Dunia, Hamas wakitoka kwa Waisrael watakuja kwa kuua Waislam wa Tanzania kwa sababu ya kutowasaidia
 
Unafikiri Hitler alifanya makosa?
Ndio kinachoenda kutokea Marekani miaka ijayo, Israel anataka atawale media, wanasiasa, jeshi, biashara na kila kitu. Wananchi wameanza kushtukia nguvu ya AIPAC katika serikali yao jamaa wananunua wanasiasa ili wawe upande wa Zionism ndomana si ajabu kuona media na wanasiasa USA wanapindisha ukweli hata ule wa wazi kabisa ila wananchi wameanza kushtuka ndomana 95% ya maandamano ni pro Palestine🇵🇸 japokuwa serikali zao zipo upande wa Israel.
 
Kinachofanyika pale Gaza, ni geresha tu, ila mpangp mzima ni Israel kuichukua mazima aridhi ya warabu hao!

Irani anajua, USA pia anajua, Russia anajua, Misiri pia na kila nchi yenye akili timamu wanajua hilo

Cha ajabu Ritz na mashekhe wengine wengi wanalijua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…