Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili washaelewa. Mambumbuu watahangaika sanaYaani aapo baado,endelea kukusanya picha za kutosha
Kuna vizee mle vimekondeana mpaka mishipa ya usoni inaonekana,tunacheka kama mazuri lakini nilicheka sana Mungu anisamehe.Sijui walifanikiwa kufika Gaza hao wayemen njaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kama uliangalia vizuri, kwenye ile video wengine hawana mikono, mi nilihisi ni watu wanshida sana wameamua kujitoa muhanga-maytyr wakawahi mabikira. Au ni wafungwa walitoka jela wanatafuta namna ya kuishi.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1733486908817183208?s=20
Maisha yote muislam ni muislam hata umchukie vipi au umuite majina gani lkn muislam atabaki muislam tofauti kabisa na wasiokuwa waislam.
Vita wenyewe kwa wenyeweHivi kobazi waliwahi kushinda vita gani kwenye hii dunia?😀
View: https://twitter.com/SAzrayev/status/1733935349653529038
FaizaFoxy njoo uone huku Waziri wa Hamas kasurrender
Kumbe na wenyewe akifa mtu wa kwao wanasikiaga uchungu!! Hili nalo liingie kwenye maajabu ya dunia[emoji837][emoji1193] Sources in Gaza:More than
80 Israel soldiers have been killed in Gaza in the last 24 hours.
Wazayuni wanazidi kuangamizwa kwa mamia huko Gaza
Waisrael waliokufa Gaza ni wengi mno, wanajeshi wanakuputishwa kama kuku huko Gaza.
Ama kweli Hamas walivyosema kuwa Gaza itageuka kuwa kaburi la wanajeshi wa Israel walimaanisha.View attachment 2839303
View attachment 2839304View attachment 2839305View attachment 2839307View attachment 2839308View attachment 2839309