Niko pleeeeeLakini, Kuna uwezekano wao kuchukuliwa. Dunia ni ya wote.
Humu Jamiiforums ni ushahidi tosha kuna mtu anaitwa Alawaz ana nyuzi 10 za kuilaumu kila nchi ya kiislam kwa nini haijapeleka askari Gaza..Haya ndio madhara ya watu kwenda shule kuklemu
Kinachofanyika pale Gaza, ni geresha tu, ila mpangp mzima ni Israel kuichukua mazima aridhi ya warabu hao!
Irani anajua, USA pia anajua, Russia anajua, Misiri pia na kila nchi yenye akili timamu wanajua hilo
Cha ajabu Ritz na mashekhe wengine wengi wanalijua hili
Hehehehehe pole.Kinachofanyika pale Gaza, ni geresha tu, ila mpangp mzima ni Israel kuichukua mazima aridhi ya warabu hao!
Irani anajua, USA pia anajua, Russia anajua, Misiri pia na kila nchi yenye akili timamu wanajua hilo
Cha ajabu Ritz na mashekhe wengine wengi wanalijua hili
Hiyo jumuia inazihusu nchi masikini na zisizo na nguvu kijeshiKama hiyo ndio nia yao, basi jumuia ya kimataifa iwakemee na kuwachukulia hatua.
Wanawakusanya kama mbuzi mnadani dah! Lakini kuna wafuasi wa shehe Ponda bado wanaamini Israel inapoteza. Gaza itakaliwa kijeshi kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Iraq. Waislam hawana akili kabisa yaani.Video imesambaa huko Twitter ikiwaonesha wanajeshi wa Israel wakiwavua nguo wapiganaji wa HAMAS waliotekwa huku wakiteswa uchi wa mnyama.
Video hiyo inaonesha wapiganaji hao waliokuwa uchi wa mnyama wakiwa wamefungwa miguu na mikono huku wakikanyagwa na wanajeshi wa IsraelView attachment 2835665
Ngozi zao kama kitimoto! Ndio maana wanakula kitimoto kwa kujificha pumbafuWanaukumbi.
⚠️#GazaGenocide ⚠️
This is happening now in Jabalia Camp in northern Gaza:
Civilians who are isolated are being taken away from their children and wives in shelter centers, then stripped of their clothes, and subjected to torture, execution, without any charges other than being above 15 years old and Palestinians from Gaza.
===============
⚠️#Mauaji ya Gaza ⚠️
Haya yanajiri sasa katika Kambi ya Jabalia kaskazini mwa Gaza:
Raia ambao wametengwa wanachukuliwa kutoka kwa watoto wao na wake zao katika vituo vya makazi, kisha kuvuliwa nguo zao, na kuteswa, kunyongwa, bila mashtaka yoyote isipokuwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 15 na Wapalestina kutoka Gaza.
View: https://x.com/mariamrobly/status/1732778457396875477?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vipi wewe maoni yako mr? kwamba Hamas wanalo huo uwezo?? ebu twambie🤣🤣🤣🤣Hehehehehe pole.
Hamas senior leader amesema haitatokea Israel akaweka buffer zone ndani ya Gaza na wamejipanga kupigana hata kwa miaka mpaka vita iishe.
Ili kuitawala Gaza inahitajika Hamas wamalizwe na hiyo ni impossible kwa IDF.
Gaza raia wote walishapewa order ya kuhamia kusini, na raia wote walitii na waliondoka hao tena wametoka wapi? waliotolewa kwa wake zao na watoto wao??Ngozi zao kama kitimoto! Ndio maana wanakula kitimoto kwa kujificha pumbafu
Nitakutafuta, usitoke hapooo!!Niko pleeeee
Unaandika kama mavi ya bata, ulisomea ujinga shuleni?Moto waba9elekeqa hapahapa na Wapalestuna.
Hamas ni kijikundi kidogo tu.
Hujawaskia Hizbollah huko moto wanaopeleka Tel Aviv?
Uliona video za 7th OctoberNi Mburula pekee anayekenua kwa ukiukwaji wa haki za watu wengine
Uliona video za 7th October
Afu mazombi yenu yanang'ang'ania chakula cha misaada, jana Ijumaa mngechanga chakula yapelekewe.
Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada
Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...www.jamiiforums.com
Rabbi tokea Kibera waonekana kuuhusudu uzayuni kwa gharama yoyote. Bila shaka wajuta kuzaliwa Kenya. Pole, ila kumbuka ungeweza zaliwa hata paka nyau!