Wenye akili washaelewa. Mambumbuu watahangaika sanaYaani aapo baado,endelea kukusanya picha za kutosha
Kuna vizee mle vimekondeana mpaka mishipa ya usoni inaonekana,tunacheka kama mazuri lakini nilicheka sana Mungu anisamehe.Sijui walifanikiwa kufika Gaza hao wayemen njaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kama uliangalia vizuri, kwenye ile video wengine hawana mikono, mi nilihisi ni watu wanshida sana wameamua kujitoa muhanga-maytyr wakawahi mabikira. Au ni wafungwa walitoka jela wanatafuta namna ya kuishi.
Yaani bora ungesema binadamu ni binadamu tu ningekuelewa, lakini ulivyoanza kuhuisha na dini ndio nikaona jinsi ulivyo biased kifikra na kutekwa na itikadi za mbuni kuzamisha kichwa chini akidhani hakuna anyemwona
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1733486908817183208?s=20
Maisha yote muislam ni muislam hata umchukie vipi au umuite majina gani lkn muislam atabaki muislam tofauti kabisa na wasiokuwa waislam.
Vita wenyewe kwa wenyeweHivi kobazi waliwahi kushinda vita gani kwenye hii dunia?😀
Hata unachokisoma hukielewi.
View: https://twitter.com/SAzrayev/status/1733935349653529038FaizaFoxy njoo uone huku Waziri wa Hamas kasurrender
Kumbe na wenyewe akifa mtu wa kwao wanasikiaga uchungu!! Hili nalo liingie kwenye maajabu ya dunia[emoji837][emoji1193] Sources in Gaza:More than
80 Israel soldiers have been killed in Gaza in the last 24 hours.
Wazayuni wanazidi kuangamizwa kwa mamia huko Gaza
Waisrael waliokufa Gaza ni wengi mno, wanajeshi wanakuputishwa kama kuku huko Gaza.
Ama kweli Hamas walivyosema kuwa Gaza itageuka kuwa kaburi la wanajeshi wa Israel walimaanisha.View attachment 2839303
View attachment 2839304View attachment 2839305View attachment 2839307View attachment 2839308View attachment 2839309