Kwa hiyo walivyosema Mbowe ni gaidi kumbe ni sahihi, km mnajilinganisha na HAMAS ambao ni magaidi that's your true colour
..wito wa kupigania katiba mpya uwe kwa Watanzania wote.
..nadhani tunakosea tunapoamini jukumu hilo ni la Chadema peke yao.
Kila nafsi itaonja mauti
Jamaa wameanza ku-pump maji kuanza kujaza kwenye mapango ya HAMAS. Sijui itakuwaje huko ndani?
Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama mchapa kazi, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,chuma cha Reli,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge na tumaini la watanzania. Ni kwa tozo serikali yetu imefanikiwa kutoa elimu bure mpaka kidato cha sita,kuongeza bajeti ya kilimo kufika billion 970,kuongeza na kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye Sifa,kutoa zaidi ya mabilioni Ruzuku katika kilimo ,n.kKudai katiba mpya ni wito mtakatifu ambao hawawezi kuwa nao bi tozo au chawa wake kama kina Lucas mwashambwa japo nao pia ni watanzania.
Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama mchapa kazi, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,chuma cha Reli,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge na tumaini la watanzania. Ni kwa tozo serikali yetu imefanikiwa kutoa elimu bure mpaka kidato cha sita,kuongeza bajeti ya kilimo kufika billion 970,kuongeza na kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye Sifa,kutoa zaidi ya mabilioni Ruzuku katika kilimo ,n.k
Nauli zinapanda viongozi wako kimya hii imekaaje nyie machawa?Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama mchapa kazi, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,chuma cha Reli,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge na tumaini la watanzania. Ni kwa tozo serikali yetu imefanikiwa kutoa elimu bure mpaka kidato cha sita,kuongeza bajeti ya kilimo kufika billion 970,kuongeza na kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye Sifa,kutoa zaidi ya mabilioni Ruzuku katika kilimo ,n.k
Nauli zimepanda kutokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji wa vyombo vya motoNauli zinapanda viongozi wako kimya hii imekaaje nyie machawa?
Nawaonea huruma wakiristo sana mimi
[emoji16] we jamaa hivi umesoma hata chekechea kweli? Au una elimu ya madrasa pekee?Nawaonea huruma wakiristo sana mimi
Wao wanajua drone ni kila kitu ..Na haya ndiyo madhara ya kutumia nguvu kubwa kuliko akili. Katika hili Hamas wametimiza malengo yao.
Hao Waisrael wakubaliane tu na Wapalestina ili kuwepo na Mataifa mawili huru katika hilo eneo. Hakuna namna nyingine ya kuumaliza huo mgogoro.
Kabisa mkuu, hii Vita imeambatana na uhalifu mkubwa.Ukiangalia al jazeera kwa nusu saa yanayojiri huko Gaza, mtu mwenye akili timamu hawezi kishabikia.
Watoto wanakufa kama vifaranga vya broiler...yaani lazima huruma ikujie...
Tuache kushabikia haya mambo yanaweza kutuachia laana
Alonga yee ivawa๐๐๐๐๐๐Israel inapoteza uungwaji mkono wa kimataifa kutokana na mashambulizi yake huko Gaza