LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Toa sifa lakini wenzio wanalia.. and wanawashangaa nyiyi ma keyboard warriors nendeni Gaza mkawaue Mayahudi dini yenu inavyowatuma... muutimilize uislam nguzo tano hahahaha
 
Safi sana,waliyataka wenyewe,ni lazima magaidi yote yasafishwe.
Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo na mayahudi dhidi ya waislam na uislam duniani. Usije kushangaa vinatapakaa dunia nzima. Allah atuepushe
Mara utasikia vinaangukia vatikan
 
Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo na mayahudi dhidi ya waislam na uislam duniani. Usije kushangaa vinatapakaa dunia nzima. Allah atuepushe
Mara utasikia vinaangukia vatikan
Hakuna kitu kama hicho, dunia yenyewe bila wakristo ingeshapigwa vita ya kuimaliza dunia,lakini ustaarabu wa wakristo ndio amani unayoiona.
 
Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo na mayahudi dhidi ya waislam na uislam duniani. Usije kushangaa vinatapakaa dunia nzima. Allah atuepushe
Mara utasikia vinaangukia vatikan
Wishful thinking.😂😂
 
Madhara ya hivi vita hatuwezi yaona kwa sasa yataonekana baadae na yatabakia ktk mioyo ya vizazi hata vizazi.
 
Vita ya kiuchumi dhidi ya Israel inayoendeshwa na Yemen kwa nafasi yao vimezidi kushika kasi baada ya kuipiga meli nyengine ya mizigo iitwayo Aljasrah ikielekea Israel.
Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia.Kuonesha ukali wa vita hivi meli za kivita za Marekani,Israel na Ufaransa ambazo zimekuwa zikivinjari maeneo hayo zimekiri kutokea kwa shambulio hilo na hawakuweza kulizuia.

Liberian-flagged Container Ship Catches Fire After Being Hit By Projectile in Red Sea

Yemen kwa nafasi ilipo ni adui wa Israel atakayeweza kumaliza nguvu za Israel na haitokuwa rahisi kuipiga na kuikalia kama alivyofanya kwa Jordan,Lebanon,Syria na Misri,Na hapo hapo zama zimebadilika hakuna nguvu hiyo ya kupigana na kila adui yake.

1702637608310.png
 
View attachment 2843273
Nakununulia popocorn kabisa, usitoke hapo ulipo. Endelea kusubiri kifuatacho
 
Hata octoba 7 mlisifia hivihivi.
mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.

wengine wanakusanywa kama dagaa chumvi huko. Hao wamewekwa kiporo muda bado unaruhusu mtakuja kulialia tena hapa sio mda.🤐🤐🤐🤐
Unajidanganya sana.Israel na Marekani wanadongoka hatua kwa hatua kuelekea dunia kuwa shawari.
Israel kama imeshindwa kuifuta Hamas kwa zaidi ya miezi miwili ilipokuwa na nguvu eneo ambalo wameliwekea vikwazo kwa takriban miaka 20 hawataweza hata siku moja kuwanyamazidha Houth.
Houth wanatawala nchi kubwa yenye nyenzo nyingi kuliko Hamas na ni watu wakali wasiokubali kushindwa.Na hiyo nchi iko mbali na eneo la kimkakati si rahisi kuvuka Saudi arabia kwa njia ya miguu kuwafuata maeneo yao.Na bila kujfanya hivyo mashambulizi ya anga hayatabadili kitu ardhini.
 
Israel si alijidai kupele Meli ya vita mbona kakimbia 😄

America katisha Yemen akamuita we kama mwanaume sogea. Kakacha kanza kuomba Saud Arabia na nchi za Gulf pamoja na Misri na Morocco wapigane na Yemen, naona leo wamefanya mkutano pale Saud Arabia je watawaweza Wayemen? Je Saud Arabia atasubutu kuchezea moto wa Yemen sidhani.
 
Hata octoba 7 mlisifia hivihivi.
mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.

wengine wanakusanywa kama dagaa chumvi huko. Hao wamewekwa kiporo muda bado unaruhusu mtakuja kulialia tena hapa sio mda.[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Wewe umekalia mlisema hivi hivi mlisema hivi hivi badala ya kuwasaidia wenzio jahazi linazama wewe kamanda muoga vipi? Baba paroko unakwama wapi?
 
Hao wamewekwa kiporo,Sasa hivi Israel kafocus kutilia mbali Hamas, hao nyau wengine waendelee kujitekenya tu wacheke wanaweza kufumuliwa usiku mmoja na wote wakaomba ukimbizi.
 
Back
Top Bottom