LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwa hiyo walivyosema Mbowe ni gaidi kumbe ni sahihi, km mnajilinganisha na HAMAS ambao ni magaidi that's your true colour

Hamas siyo gaidi na UNGA wamethibitisha hilo:

Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

Tofautisha magaidi na wapigania uhuru:

IMG_20231213_063634.jpg
 
Kudai katiba mpya ni wito mtakatifu ambao hawawezi kuwa nao bi tozo au chawa wake kama kina Lucas mwashambwa japo nao pia ni watanzania.
Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama mchapa kazi, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,chuma cha Reli,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge na tumaini la watanzania. Ni kwa tozo serikali yetu imefanikiwa kutoa elimu bure mpaka kidato cha sita,kuongeza bajeti ya kilimo kufika billion 970,kuongeza na kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye Sifa,kutoa zaidi ya mabilioni Ruzuku katika kilimo ,n.k
 
Maji ya chumvi yameanza kujazwa kwenye mapango huko,kitaeleweka tu
 
Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama mchapa kazi, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,chuma cha Reli,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge na tumaini la watanzania. Ni kwa tozo serikali yetu imefanikiwa kutoa elimu bure mpaka kidato cha sita,kuongeza bajeti ya kilimo kufika billion 970,kuongeza na kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye Sifa,kutoa zaidi ya mabilioni Ruzuku katika kilimo ,n.k

JamiiForums298906090_512x311.jpg
 
Nauli zinapanda viongozi wako kimya hii imekaaje nyie machawa?
 
Israel inapoteza uungwaji mkono wa kimataifa kutokana na mashambulizi yake huko Gaza- Biden​

h
 
Na haya ndiyo madhara ya kutumia nguvu kubwa kuliko akili. Katika hili Hamas wametimiza malengo yao.

Hao Waisrael wakubaliane tu na Wapalestina ili kuwepo na Mataifa mawili huru katika hilo eneo. Hakuna namna nyingine ya kuumaliza huo mgogoro.
 
Wao wanajua drone ni kila kitu ..
 
Ukiangalia al jazeera kwa nusu saa yanayojiri huko Gaza, mtu mwenye akili timamu hawezi kishabikia.
Watoto wanakufa kama vifaranga vya broiler...yaani lazima huruma ikujie...
Tuache kushabikia haya mambo yanaweza kutuachia laana
Kabisa mkuu, hii Vita imeambatana na uhalifu mkubwa.
 
BREAKING:

🇮🇱🇮🇷"Netanyahu says we have to deal with Iran and above all prevent it from arming itself with nuclear weapons."

😂😂😂 mziki wa Hamas umemfanya kuchanganyikiwa anajiuliza siku Iran wakiamka vibaya itakuaje.
 
Ghaza ni mwiba uliomkaa kooni mzayuni, kuutema anataka kuumeza anataka, umekwama:

Back
Top Bottom