Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother β’ No further hostage talks until Israel ceases aggression, Hamas official says
π Sa walikuta nini kama hilo tunnel ni la Hamasi? AFU Israel hilo tunnel unauhakika kaliona jana? Au labda aliliona zamani sababu Hamasi Halitumii inaonyesha ama waliwacha kulitumia zamani au Israel kaleta yeye kalifukia sababu jeshi la Israel lipo hapo toka walipo ingia Gaza hilo tunnel lipo karibu kabisa na border.
Mimi nahisi Israel anaweza kuwa kajenga yeye kutafuta point ya kiaskari sababu hana mpa mda hu?
Swali je walikuta hata kijana wa Hamasi mle? Au silaha? Sa vipi tuamini waongo??Israel ni waongo sa je kama hilo tunnel ni wao Israel ndio walilijenga zamani?
Swali lingine hata kama ni tunnel la Hamasi, ina mana tokea vita vianze wamepata tunnel moja tu π Afu kuna watu wanasema hawa ma super power siku 70 ndio mnapata tunnel afu tunnel lisilo tumiwa hakuna chochote ndani afu mnajisifu π
Mimi nadhani hilo tunnel labda walijenga wao au katika matunnel walio gundua wao zamani kabla ya vita, wameamua kwa sasa kulionyesha ili waonekane wamepata angalau kavictor kwenye upande wa kijeshi.
Swali lingine kama ni kweli wamegundua hilo tunnel kawaulizeni ma expert katika JWTZ kuwatangazia watu si unakuwa umempa adui yako point? Anafahamu wazi kumbe tunnel lile hatuwezi litumia tena, badala ya wao kufaida nalo kuwashika Hamasi wakilitumia, haijaingia akilini hata siku moja na hisi ni kama filim ya kihindi tu katengeneza Israel.
Hilo tunnel labda wao wamelijenga sababu linaonyesha ni jipya na hakuna hata askari wa Hamasi au silaha, tazameni vyuma vipya kabisa π