Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Tazama footage ya hilo tunnel, ukitazama kama walifukia matank vile sehemu za ukuta afu yanakutu, na foundation ni vyuma vipya kabisa haha hi ni film ya kihind kabisa 😄Unaweza kukuta hilo handaki lilikuwepo kitambo sana na inawezekana lilijengwa na hao hao Israel kipindi hicho wanaikalia Gaza. Siku hizi habari za kwenye internet sio za kizikurupukia
Afu foundation yenyewe kama haikujengwa,vyuma vinaonekana kabisa hata wanamgambo wa Hamasi wakikimbia mle vyuma vitawanasa miguu yao, gari au piki piki zitatobolewa matyres, hawa Israel hawajui kudanganya.
View: https://youtu.be/HGYvqSe_FZM?si=rGibgIJX-Per7ix9
Si