LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unaweza kukuta hilo handaki lilikuwepo kitambo sana na inawezekana lilijengwa na hao hao Israel kipindi hicho wanaikalia Gaza. Siku hizi habari za kwenye internet sio za kizikurupukia
Tazama footage ya hilo tunnel, ukitazama kama walifukia matank vile sehemu za ukuta afu yanakutu, na foundation ni vyuma vipya kabisa haha hi ni film ya kihind kabisa 😄

Afu foundation yenyewe kama haikujengwa,vyuma vinaonekana kabisa hata wanamgambo wa Hamasi wakikimbia mle vyuma vitawanasa miguu yao, gari au piki piki zitatobolewa matyres, hawa Israel hawajui kudanganya.






View: https://youtu.be/HGYvqSe_FZM?si=rGibgIJX-Per7ix9
Si
 
Mvaa msalaba wa mbao anamcheka mvaa kobazi JF kuna vituko

c3288fb2-bb10-4410-9bf7-f6cd34daa697.jpg
 
vp
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.



568974


IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother​

vp kuhusu mateka washawapata!!!
au ndo tuje tuzungumze tubadilishane!!!
 
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.



568974


IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother​

Nakumbuka ulisema Israel hawajasonga mbele hata inch moja
 
Uloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?

Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?

Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.

Jionee:

Mzee wangu dini imekupofusha kabisa mzee
 
Huu mchezo umeingia kwenye kiwango kingine, ni mwendo wa kuonyeshana ubabe kwenye matumizi ya akili.....


Nearly 70% of Iran’s gas stations went out of service following possible sabotage — a reference to cyberattacks, Iranian state TV reports.

The report says a “software problem” caused the irregularity in the gas stations. It urges people not to rush to the stations that were still operational.

State TV quotes a statement by the Oil Ministry as saying more than 30% of gas stations remain in service. The country has some 33,000 gas stations.

An Israel-linked hacker group dubbed “Gonjeshke Darande,” or “predatory sparrow,” claimed the cyberattack.
 
Uloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?

Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?

Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.

Jionee:


Wanawake wanahitajika wakapanue miguu kule wazalishwe upya maana kizazi kinafutika, wewe ungekua mmoja wao sema tatizo ni Mwafrika na kama kawaida Waarabu hawapendi Waafrika, hata yule 'mungu' wako muddy alichukia sana weusi

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
😄 Sa walikuta nini kama hilo tunnel ni la Hamasi? AFU Israel hilo tunnel unauhakika kaliona jana? Au labda aliliona zamani sababu Hamasi Halitumii inaonyesha ama waliwacha kulitumia zamani au Israel kaleta yeye kalifukia sababu jeshi la Israel lipo hapo toka walipo ingia Gaza hilo tunnel lipo karibu kabisa na border.

Mimi nahisi Israel anaweza kuwa kajenga yeye kutafuta point ya kiaskari sababu hana mpa mda hu?

Swali je walikuta hata kijana wa Hamasi mle? Au silaha? Sa vipi tuamini waongo??Israel ni waongo sa je kama hilo tunnel ni wao Israel ndio walilijenga zamani?

Swali lingine hata kama ni tunnel la Hamasi, ina mana tokea vita vianze wamepata tunnel moja tu 😄 Afu kuna watu wanasema hawa ma super power siku 70 ndio mnapata tunnel afu tunnel lisilo tumiwa hakuna chochote ndani afu mnajisifu 😄

Mimi nadhani hilo tunnel labda walijenga wao au katika matunnel walio gundua wao zamani kabla ya vita, wameamua kwa sasa kulionyesha ili waonekane wamepata angalau kavictor kwenye upande wa kijeshi.

Swali lingine kama ni kweli wamegundua hilo tunnel kawaulizeni ma expert katika JWTZ kuwatangazia watu si unakuwa umempa adui yako point? Anafahamu wazi kumbe tunnel lile hatuwezi litumia tena, badala ya wao kufaida nalo kuwashika Hamasi wakilitumia, haijaingia akilini hata siku moja na hisi ni kama filim ya kihindi tu katengeneza Israel.

Hilo tunnel labda wao wamelijenga sababu linaonyesha ni jipya na hakuna hata askari wa Hamasi au silaha, tazameni vyuma vipya kabisa 😄

Israel waliwaacha mjenge hayo mahandaki, kisha wakasubiri muingie chaka ya kuwachokonoa ili waifute Gaza

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
vp

vp kuhusu mateka washawapata!!!
au ndo tuje tuzungumze tubadilishane!!!

Kwa sasa habari ni kufuta Gaza, uliona Israel wanaua mateka wenyewe maana kwamba hawana muda nao, kwa kifupi HAMAS hawana pakutokea...

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
Wameidukua Iran ila mpaka sasa wameshindwa kudukua mawasiliano ya Hamas kujua mateka walipo?
Hizo propaganda za kuipamba Israel zilizimwa na Hamas October 7.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Pale Gaza Israel nia yao kubwa sio mateka, ni kuifuta Gaza.....na ndio maana uliona juzi wenyewe wanaua hao mateka.
Hao HAMAS wenu wako kwenye shida sana maana hamna namna ila kuwahishwa kwa mabikira.

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
Hamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
 
Uloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?

Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?

Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.

Jionee:

Ingekuwa kwenye nchi za wenzetu ambako kuna tawala na Mamlaka ambazo ziko serious sana na Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wao, basi watu wanaohusika na masuala ya Counter-intelligence and Counter-terrorism wange-deal na wewe kindakindaki kabisa mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom