Unajua lengo kuu la watu kupigana vita siku zote ni kulinda uhuru wao, ardhi yao,watu wao,n.k
Mfano tunaona wanavyofanya Russia na Ukraine wanapambana katika namna ambayo inaepusha madhara Kwa raia wa kawaida.
Sasa unazungumziaje hii mitindo ambayo haya makundi kama houthi,hamas, Hezbollah,n.k ambayo hupambana Katika namna inayoleta madhara makubwa sana kwa raia wasio na hatia ambao hupaswa kuwalinda???
Mf Leo hamas wapalestina 19k wameuwawa, does it worth to call victory???
Tumeona Yemen humanitarian crisis, mfano Saudi Arabia akafanya real war bila kujali madhara ya kibinadamu ,unadhani hao houthi watashinda???