LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
I stand with Hamas and the Palestinians
 
Wanawake wanahitajika wakapanue miguu kule wazalishwe upya maana kizazi kinafutika, wewe ungekua mmoja wao sema tatizo ni Mwafrika na kama kawaida Waarabu hawapendi Waafrika, hata yule 'mungu' wako muddy alichukia sana weusi

Hilo lisikutishe kila kijana, watu wanafyatuana saa hizi chini ya ardhi kama pamya.


Usiwe na hofu, wakiibuka huko ni kuangamiza mazayuni tu, hawaelewi kingine.
Kawaulize Mossad kimewashinda nini kuzuiwia mauwaji ya Oktoba 7?

wajomba wa mungu wako wanaendelea kufyekwa huko, unafahamu kwanini? Kwa ushoga wao, saa ngapi afikirie mhogo saa ngapi apigane? Fikiri.
 
Hamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
kipigwe tu mpk 120,bila refa no offside,sub bila limit...mashabiki pia kaeni pembeni,ukiona mtz mwnzio kafa kule fanya kabla hujaona
 
From North to South HAMAS terrorists watauwawa kama vilivyoua vijana wetu Joshua na Clemence. Mungu ibariki ISRAEL iifute HAMAS kwenye uso wa dunia.
 
Heeeheee yaani mnajua mahandaki yalipo ila mkashindwa kujua mateka walipo?? Hamna intelijensia yoyote mbona Hamas wamekua wakisema wana operate kwa mahandaki na ndio wanapitishia silaha zote huko.

Kingine msitafute justification, Israel imepora West Bank kwani kuna Hamas kule au kuna vita? So Israel haijawahi tafuta sababu ili kuvamia wapalestina maana wameshateka West Bank na kupora ardhi yote bila risasi kurushwa na hao wapalestina.
 
Hujui na wala hawakuongea nawe ni lini watawamaliza hao mahuni.Ni Bora utulie.Wenzako wanajiliza kila wamuonae.Shauri yako!
Ewe kafiri kaa kwa kutulia ndio kwanza operation "tokomeza mayahudi" imeanza na Bwana wenu Marekani ameisha ufyata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…