LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
I stand with Hamas and the Palestinians
 
Wanawake wanahitajika wakapanue miguu kule wazalishwe upya maana kizazi kinafutika, wewe ungekua mmoja wao sema tatizo ni Mwafrika na kama kawaida Waarabu hawapendi Waafrika, hata yule 'mungu' wako muddy alichukia sana weusi

3257805170761984946-jpg-png.2843958
Hilo lisikutishe kila kijana, watu wanafyatuana saa hizi chini ya ardhi kama pamya.


Usiwe na hofu, wakiibuka huko ni kuangamiza mazayuni tu, hawaelewi kingine.
Ingekuwa kwenye nchi za wenzetu ambako kuna tawala na Mamlaka ambazo ziko serious sana na Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wao, basi watu wanaohusika na masuala ya Counter-intelligence and Counter-terrorism wange-deal na wewe kindakindaki kabisa mpaka kieleweke.
Kawaulize Mossad kimewashinda nini kuzuiwia mauwaji ya Oktoba 7?

wajomba wa mungu wako wanaendelea kufyekwa huko, unafahamu kwanini? Kwa ushoga wao, saa ngapi afikirie mhogo saa ngapi apigane? Fikiri.
 
Hamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
kipigwe tu mpk 120,bila refa no offside,sub bila limit...mashabiki pia kaeni pembeni,ukiona mtz mwnzio kafa kule fanya kabla hujaona
 
From North to South HAMAS terrorists watauwawa kama vilivyoua vijana wetu Joshua na Clemence. Mungu ibariki ISRAEL iifute HAMAS kwenye uso wa dunia.
 
Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.
Heeeheee yaani mnajua mahandaki yalipo ila mkashindwa kujua mateka walipo?? Hamna intelijensia yoyote mbona Hamas wamekua wakisema wana operate kwa mahandaki na ndio wanapitishia silaha zote huko.

Kingine msitafute justification, Israel imepora West Bank kwani kuna Hamas kule au kuna vita? So Israel haijawahi tafuta sababu ili kuvamia wapalestina maana wameshateka West Bank na kupora ardhi yote bila risasi kurushwa na hao wapalestina.
 
Back
Top Bottom